MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
hata mi nilimuangalia
nikabaki nimepigwa butwaa,tangu tuondokewe na prof. Othman idara ya DS
mliman imebaki na maprofessor wa kichina.
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
mbona anaongea vizuri tu. hizi chuki za vyuo vya kata kwa UDSM
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
Wewe unayekijua kidhungu mbona hujawa professor?
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
elimu si kingereza wandugu
Mnachekesha sana tena sana,kusoma ama usomi ama uprof sio kuelewa kingereza,nenda Japan,china,korea,german,spain,mongolia,india baadhi,bangradesh,iran,kuna maprof wamebobea ni high reputed professors,lakini hawawezi hata salamu ya kingereza,kuelewa kuongea kingereza sio ndio usomi,wapo watu UK wanakiongea vyema sana kingereza,lakini hata kukiandika hawawezi kwako wewe unaweza waita wasomi eti kwakuwa wanaweza kukiongea kingereza?
Tuache kasumba,mimi nampongeza kwa hilo na hatuhitaji kukielewa sana hicho kingereza,cha msingi ni kuelewa lile eneo unalotaka kulifanyia kazi.
Profesa ni mweledi katika fani yake. Sio maprofesa wote ni maprofesa wa lugha. Nimewahi kuwasikiliza maprofesa kutoka nchi mbalimbali wakiongea Kiingereza. Ukisikiliza Kiingereza cha hawa wataalam kutoka Italy, Germany, Greek, China utakubali kwamba maprofesa wetu wako juu sana kwa lugha.
Mbali na kwamba UDSM sijafundishwa na prof. Mpangala, lakini nimewahi kumsikia japo kupitia kwa wanafunzi wake. Hata kama sijaangalia hicho kipindi lakini siwezi shawishika na kebehi za mtoa mada.
Ebu watanzania tuache kujikandamiza wenyewe tusonge mbele. Kama sikosei Prof. Mpangala ni mtaalam wa sayansi ya siasa, sasa hata akikosea sarufi za kiingereza sio tatizo sana kwani anaweza kukosea hata kwenye Kiswahili pia. Yeye sio mtaalam wa lugha, la muhimu ni yeye kuongea mambo yenye mashiko kwenye fani yake. Mbona hata kwenye Kiswahili tunakosea sana!!