Kama wanafunzi wake kwenye taaluma yake wanamwelewa anachowafundisha wewe hiyo lugha ya kizungu unayotaka aongee ni ipi. Kiswahili chenyewe wewe kimekushinda unaandika kidhungu badala ya kizungu sasa ikiwa kiswahili tu kinkutoa mbio kweli unaweza kumsema professa hajui kizungu.Kama ameongea na kueleweka alichosema inatosha.