sio wivu mkuu mada niya muda sana ila wafukua makaburi wakazama chimbo wakaleta sasa Kwa hilo povu lako lazima kuna mgao ulipita upande wako tuWivu si mzuri ndugu. Anzisha na we shule yako
Babro Sec ni shule binafsi. Nyie hangaikeni na Makurumla Sec. (Kata)sio wivu mkuu mada niya muda sana ila wafukua makaburi wakazama chimbo wakaleta sasa Kwa hilo povu lako lazima kuna mgao ulipita upande wako tu