Tatizo la msingi ni kwamba baadhi ya viongozi wa Zanzibar wamepoteza uwezo wa kuongoza. Hakuna viongozi ambao wana ujasiri wa kusimama dhidi ya watu kama kina Jussa na kuwaambia ukweli; hakuna viongozi Zanzibar wenye uwezo wa kusema na kutetea hoja zao au kupendekeza hoja tofauti na za kina Jussa. Huko kwenye BLW hakuna viongozi wenye ujasiri wa kusimama na kusema hapana!
Wazanzibari wanalazimishwa kuwa na fikra za aina moja na kuwa wasioneshe tofauti yoyote ya mawazo; huu ndio mwanzo wa ule udikteta wenyewe. Wachache ambao wanaweza kuwa ni pro-union wanaogopa kusimama na kuwapinga hawa separasists kama kina Jussa. Hawawezi kwa sababu wamekubali kuingia katika political pandering kwamba kila mmoja akitaka kuonekana ni kiongozi mzuri basi lazima awe against the union, deparaging watu wa bara, kebehi ya Nyerere n.k Matokeo yake watu wenye ujasiri wamekosekana na muungano wao unatokana na chuki sasa.
Hawa Wazanzibar ndugu zetu umoja wao uko kwa sababu wanaonekana kuchukia Muungano na kuichukia Tanzania bara; wanaamini kuwa ni Tanganyika ndio tatizo lao wakati kwa kila kipimo wako wanajiamulia mambo yao mengi wao wenyewe. Wanajiaminisha kuwa wao ni nchi na ina mambo yake na wanataka wawe nchi wakiwa bado kwenye muungano! Bahati mbaya ukweli wameambiwa mara nyingi lakini hawataki kuamini - Zanzibar siyo nchi mahali popote pale isipokuwa kwa Zanzibar yenyewe.
KUna nchi nchi moja tu nayo ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ibara ya 1) ya Katiba Ya Muungano. Na Katiba hiyo inasema wazi kuwa eneo la JMT ni eneo lote la Tanzania Bara na Eneo lote la Tanzania Visiwani na bahari yake! Wazanzibari hawaamini kuwa wao siyo nchi! Wakati umefika tuanze kuwahakikishia ndugu zetu kuwa wao ni sehemu ya Muungano na ni wananchi wa Tanzania. Kama kweli wanaona muungano hauwafahi au ni tatizo wajitokeze tu na kudai kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano.
Lakini wafanye hivi kwa kujiuzulu kwanza nafasi zao kwenye Muungano ili wapiganie kujitenga kwa Zanzibar! Haiwezekani upande mmoja wanafurahia matunda ya Muungano wakati huo huo hawautaki!
Kilichowafikisha hapa viongozi wa Zanzibar ni chaguzi na matokeo ya kijinga. Sasa hivi wanachukua madaraka kwa ridhaa ya Maalim Seif na Jussa. Hili nalo lina mizizi yake huku bara. CCM bara imekuwa ikiwapelekea Wazanzibar wagombea ambao sio chaguo lao.
Kinachonishangaza zaidi ni vijana kama Jussa kuidharau katiba ya JMT kwa makusudi kabisa. Mipaka ya Tanzania ni suala la katiba ya JMT. Mama Tibaijuka hashughulikii ARDHI kwenye suala hili. Anashughulikia mipaka.
Suala la MIPAKA ni suala la KATIBA ya JMT. Walichokifanya Zanzibar kwenye katiba yao ni uhuni mtupu. Ni ubatili kwa mujibu wa katiba ya JMT. Rais wetu hataki kuwaambia hili. Atawaudhi. Baraza la Wawakilishi halina mamlaka yoyote juu ya haya wanayoyajadili. Wanaoweza kufanya hivi ni WABUNGE wao ndani ya BUNGE la JMT ambako BLW lina uwakilishi wa Wabunge watano mbali na wale wa majimbo. Kwa nini Jussa anaachiwa kutamba na kupotosha mambo mengi kiasi hiki kwangu ni kitendawili.Jamani mamlaka ya Zanzibar kieneo yanaisha wapi? Yainaisha chumbe au zaidi ya chumbe. Will someone kindly tell /define territorial boundaries within which zanzibar enjoys territorial autonomy
Kumbuka kuwa hata Tanganyika haiwezi kufikisha jambo lolote Un kwa sababu haitambuliki kisharia. Na unaposema Tanzania maana yake ni Tanganyika na Zanzibar.
Tunachohoji vipi Tibaijuka waziri wa Ardhi wa Tanganyika apeleke maombi UN kwa niaba ya Tanzania pasi na kuhusisha Znz huusan watunga sharia wa nchi hizo mbili huru zilizoungana kimkataba?
CUF na BLW wameliona hilo japo Chadema wanalipinga kiaina. Kwani hilo sio tatizo kwenu kwani nia yenu ni kuidhulumu Znz na kukuza tanganyika. Znz wameliona hilo na mpaka kieleweke.
lazima mjue Zanzibar ni nchi kamili yenye mamlaka kamili kwa mujibu wa sharia za Znz. Na Muungano wanalijua hilo.
Barubaru ili usiendelee kujichanganya na kuchanganya watu kama anavyofanya mpwao Jussa kila mara anza na KATIBA ya JMT halafu kasome hiyo nyingine. Mnataka kulitumia vibaya BLW. Mambo yanayogusa JMT yana katiba moja tu. Hili la mipaka ni mojawapo.Nakuomba kabla kuandika lolote naomba nikuulize.
Je unajuwa mipaka ya kazi ya Waziri wa Ardhi na maendeleo ya makazi wa muungano Prof Tibaijuka? Pitia kwenye katiba ya muungano limebainishwa hilo na utujuze.
Tatizo la msingi ni kwamba baadhi ya viongozi wa Zanzibar wamepoteza uwezo wa kuongoza. Hakuna viongozi ambao wana ujasiri wa kusimama dhidi ya watu kama kina Jussa na kuwaambia ukweli; hakuna viongozi Zanzibar wenye uwezo wa kusema na kutetea hoja zao au kupendekeza hoja tofauti na za kina Jussa. Huko kwenye BLW hakuna viongozi wenye ujasiri wa kusimama na kusema hapana!
Wazanzibari wanalazimishwa kuwa na fikra za aina moja na kuwa wasioneshe tofauti yoyote ya mawazo; huu ndio mwanzo wa ule udikteta wenyewe. Wachache ambao wanaweza kuwa ni pro-union wanaogopa kusimama na kuwapinga hawa separasists kama kina Jussa. Hawawezi kwa sababu wamekubali kuingia katika political pandering kwamba kila mmoja akitaka kuonekana ni kiongozi mzuri basi lazima awe against the union, deparaging watu wa bara, kebehi ya Nyerere n.k Matokeo yake watu wenye ujasiri wamekosekana na muungano wao unatokana na chuki sasa.
Hawa Wazanzibar ndugu zetu umoja wao uko kwa sababu wanaonekana kuchukia Muungano na kuichukia Tanzania bara; wanaamini kuwa ni Tanganyika ndio tatizo lao wakati kwa kila kipimo wako wanajiamulia mambo yao mengi wao wenyewe. Wanajiaminisha kuwa wao ni nchi na ina mambo yake na wanataka wawe nchi wakiwa bado kwenye muungano! Bahati mbaya ukweli wameambiwa mara nyingi lakini hawataki kuamini - Zanzibar siyo nchi mahali popote pale isipokuwa kwa Zanzibar yenyewe.
Watu hawataki kuamini kuwa Zanzibar siyo nchi; nadhani huu ni ujumbe ambao inabidi tuurudie ili ueleweke. Zanzibar iliacha kuwa nchi ilipoungana na Tanganyika kuunda TAnzania. Ilichoachiwa ni kuwa na serikali yake ambayo ni sawa na serikali ya State of Michigan au New York! True, watu wa New York wanajiita New Yorkers, wana GAvana wao, polisi wao, sheria zao bunge lao n.k lakini ni state only ndani ya US nje ya US tunajua kuna nchi moja tu inaitwa United States of America. Na ni Federal Gvt inayohusika na mipaka ya maji. Mamlaka ya karibu states zote yanaishia pale ardhi inapogusa maji na mamlaka ya federal yanaanzia pale pale!
Ndugu barubaru,
100% it's none of ur shit business! umekuwa ukijiita kuwa ni raia wa oman, sasa mambo ya Tanzania yanakuhusu nini wewe? we don't need any of ur garbage opinion, we know exactly that shallow minded like you,jussa and the like r trying to instigate something and you always seem to be against the prosperity of our nation, what an advice can a cockroach give to a butterfly!? feed on filthy shit!? NO HELL NO, a butterfly feeds on succulent flowers! it should stick firmly in ur pale mind now and forever that TZ issues are none of oman issues!
Hapo kwenye red, waziri ameomba kuongeza mipaka ya bahari na si ardhi, huko kwenu oman sijui mnatofautishaje kati ya ardhi na bahari!? na kama katiba inasema ni suala ardhi(zanzibar) tu kuwa si la muungano bila kutaja bahari basi hapo ujue waziri ametumia loophole na hivyo hana makosa!
Nakutakia siku njema barubaru bin waruwaru!
Maada umeanzisha mwenyewe sasa unataka kuikimbia kijanja kwa kuanzisha mijadala tofauti na mada.Asiyejua maana haambiwi maana .kama unalijua Je unajuwa mamlaka na madaraka yao ikiwemo pamoja na mipaka ya madaraka na mamlaka yao? Tueleze basi sio tu kusema unajua kumbe wahitahi darsa.
Asiyetambua mamlaka ya Rais wa Muungano ni Padre Slaa alikataa matokeo na kumkwepa Kikwete mpaka juzi alipokimbilia chai pale ikulu kwa aibu kubwa na fedheha.
Lakin pia elewa mimi nasimamia Katiba ya Muungano wenu ambao Padre anaukana na Katiba ile ya Znz na ndipo hoja zangu zinaposimama.
Wewe tunajuwa unaabudu wazungu na sababu zinajulikana sio siri. Kumbuka kwetu wazungu tunawadharau na kuwatuma kama vibarua tu japo kwako ni mabwana.
Barubaru, Katiba ya Zanzibar ipo kwa sababu Katiba ya Muungano imesema "kutakuwa na Katiba ya Zanzibar". Katiba ya Zanzibar haipo nje ya Katiba Ya Muungano. Kati ya Katiba hizo mbili linalotenguka ni lile linalopingana na Katiba ya Muungano linatenguka. Katiba ya Muungano ikipingana na ya Zanzibar, ya muungano haitenguki ni ya Zanzibar ndio inatenguka. Binafsi hata nikiona Katiba ya Zanzibar inasema "Zanzibar ni nchi" kwangu haina maana yoyote kwa sababu Katiba ya Muungano inasema "Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano!"! Hakuna nchi mbili ipo nchi moja!
Watu hawataki kuamini kuwa Zanzibar siyo nchi; nadhani huu ni ujumbe ambao inabidi tuurudie ili ueleweke. Zanzibar iliacha kuwa nchi ilipoungana na Tanganyika kuunda TAnzania. Ilichoachiwa ni kuwa na serikali yake ambayo ni sawa na serikali ya State of Michigan au New York! True, watu wa New York wanajiita New Yorkers, wana GAvana wao, polisi wao, sheria zao bunge lao n.k lakini ni state only ndani ya US nje ya US tunajua kuna nchi moja tu inaitwa United States of America. Na ni Federal Gvt inayohusika na mipaka ya maji. Mamlaka ya karibu states zote yanaishia pale ardhi inapogusa maji na mamlaka ya federal yanaanzia pale pale!
Barubaru ili usiendelee kujichanganya na kuchanganya watu kama anavyofanya mpwao Jussa kila mara anza na KATIBA ya JMT halafu kasome hiyo nyingine. Mnataka kulitumia vibaya BLW. Mambo yanayogusa JMT yana katiba moja tu. Hili la mipaka ni mojawapo.
Mwanakijiji,Watu hawataki kuamini kuwa Zanzibar siyo nchi; nadhani huu ni ujumbe ambao inabidi tuurudie ili ueleweke. Zanzibar iliacha kuwa nchi ilipoungana na Tanganyika kuunda TAnzania. Ilichoachiwa ni kuwa na serikali yake ambayo ni sawa na serikali ya State of Michigan au New York! True, watu wa New York wanajiita New Yorkers, wana GAvana wao, polisi wao, sheria zao bunge lao n.k lakini ni state only ndani ya US nje ya US tunajua kuna nchi moja tu inaitwa United States of America. Na ni Federal Gvt inayohusika na mipaka ya maji. Mamlaka ya karibu states zote yanaishia pale ardhi inapogusa maji na mamlaka ya federal yanaanzia pale pale!
Hilo aliwezekani hata kidogo. Kwani Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio KIKATIBA. Kuna mambo apo nje ya mkataba wa Muungano likiwemo hili la ardhi na makazi.
Sasa unapozungumzia maslahi ya eneo la milki ya arrdhi ni lazima uziusishe pande zote mbili kwani hili si suala la muungano. Alichofanya Tibaijuka ni ubabe kitu ambacho hakikubaliki. Ni mawili tu yanatakiwa hapo ima a withdraw hayo maombi na kuanza mchakato mpya kama nchi zote mbili zitakubaliana au kuanisha kila nchi itanufaika vipi in terms of eneo hilo.
kama OIC ilizimwa na Muungano kwanini na hili lisizimwe.
Tibaijuka amechamke lazima ajiuzuru tu hakuna mjadala.
Mwanakijiji,
Hili Waziri Mkuu wetu aliwahi kuulizwa na Mh Hamad ndani ya Bunge la JMT. Akalijibu vizuri KIKATIBA. Siku chache baadae Rais wetu alinukuliwa akilijibu hovyohovyo tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano. Jibu hili likawapa kiburi hawa jamaa wakaenda kufanya marekebisho batili kwenye katiba yao. Wamezaliwa akina Jussa sasa. Ipo siku tutamtaka JMK aseme kama anailinda na kuitetea KATIBA alioapa kufanya hivo.
natamani ningekuwa rais ningeifanya zenj mkoa na hao vimbelembele kama jusa ningewarudisha kwao uaharabuni, hawa ndio wanaotududisha nyuima. Tanahitaji raisi mbabe ndio tuendelee. La sivyo hatutafika mahali. Huyu jussa ni ni mtu hatari na si mzalendo kabisa ni mamluki