Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,381
Ungesoma vizuri kilichoandikwa, usingetuandikia huu uharo wako hapa!
Ukawa mnaangaika nyie kisauti Jana kamwaga ushuzi wake bungeni pale ila prof. Alimpatia fresh yake
Aliulizwa uliomba pesa kulipa fidia kwa tsh 15000/-kwa sqmeter 1 mbona unalipa tsh 5000 hiyo 10000 inaenda wapi hakujibu kabaki kujisifu ujinga kafanyia nini taifa hili zaidi ya kuwa sababu ya kuwafanya wananchi kukosa haki zao hapo kurasini kingamboni etc
Tz udaku daimaChanzo: TANZANIA DAIMA.
Ungesoma vizuri kilichoandikwa, usingetuandikia huu uharo wako hapa!
Mdee mwenyewe yuko uchi anatakiwa kupatiwa nguo avalishwe
Ataanza dr slaahuyu bibi anaweza kujinyonga wakati wowote...
Hivi alimkingia kifua Rwakatare nyumba yake isivunjwe? Kama alifanya hivyo, basi ujue serikali ilitoa kibali cha ujenzi.
Tiba
Chagadema ni magaidiccm ni intarahamwe..
Chagadema ni genge la kigaidiccm ni interahamwe