Prof. Sospeter Muhongo's latest CV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Sospeter Muhongo's latest CV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Aug 26, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Prof. Sospeter Muhongo's latest CV  Professor Sospeter Muhongo, a Tanzanian, Officier, Ordre des Palmes Academiques, is a full professor of Geology at the University of Dar es Salaam, Tanzania, and an Honorary Professor of Geology at the
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Prof. Sospeter Muhongo, (Officier, Ordre des Palmes Academiques), FGSAf, FAAS, FASI, FASSAf, FGIGE, FTWAS, HonFCAGS, HonFGS, CGeol, EurGeol[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  University of Pretoria, South Africa. He is an Honorary Fellow of the Geological Society of London (HonFGS), an Honorary Research Fellow of the Chinese Academy of Geological Sciences (HonFCAGS), a Fellow of the Academy of Sciences for the Developing World (FTWAS), a Fellow of the Geological Society of Africa (FGSAf) and a Fellow of the African Academy of Sciences (FAAS). He is a fellow of eight highly learned professional societies, and the first recipient (2004) of the Robert Shackleton Award (Outstanding Research on the Precambrian Geology of Africa). He is the Vice President of the Commission of the Geological Map of the World (CGMW). Prof. Muhongo is the Chair of the Jury of the African Union (AU) Kwame Nkrumah Scientific Awards - Continental Awards for Outstanding Scientists 2011 Edition. He is a member of the Executive Board of the African Inter-Parliamentary Forum on Science, Technology and Innovation (AIPF-STI).


  He is Editor-in-Chief of the Journal of African Earth Sciences (Elsevier), Associate Editor of Precambrian Research (Elsevier) and a member of several editorial boards of science journals and bulletins. Prof. Muhongo is the Senior Editor of the published book (2009) on "Science, Technology and Innovation for Socio-Economic Development: Success Stories from Africa."

  Prof. Muhongo was the President of the Geological Society of Africa (1995 - 2001). He was the founding Regional Director (2005 - 2010) of the ICSU Regional Office for Africa, Pretoria, South Africa. He was the Chairperson of the UNESCO-IUGS-IGCP Scientific Board of International Geoscience Programme (2004 - 2008), and the Chair (2007 - 2010) of Science Programme Committee (SPC) of the UN-proclaimed International Year of the Planet Earth (IYPE). Prof. Muhongo is a Member of the International Experts Group (Global Science Forum) of OECD.

  He was the Chairman (1999 - 2005) of the Board of Directors of the State Mining Corporation (STAMICO), Tanzania; and was the Head (1997 - 2000) of the Department of Geology, University of Dar es Salaam, Tanzania. Prof. Muhongo was the Chairman (2002) of the Tanzania Government's Commission of Inquiry on the deadliest Mererani Tanzanite mine's accident.

  Prof. Muhongo has published over 200 well acknowledged research articles, geological and mineral maps. He has delivered more than 300 invited keynote speeches around the world at international conferences. He has undertaken over 100 contracted scientific research projects, and consultancy services in the mineral industry, environmental issues and STI policy matters. Pro. Muhongo has been on many STI review/evaluation panels and advisory boards for both national and international institutions and organizations. He has been an external Examiner/Referee for numerous universities, i.e. examinations moderator and academic staff referee/evaluator (e.g. candidates for professional positions). Over the past two decades, Prof. Muhongo has co-organized over 100 expert group meetings and international earth sciences, STI and science policy conferences, including those on "Science with Africa (Rapporteur-General)" which are hosted by the United Nations Economic Commission for Africa (UNECA), the African Union Commission (AUC) and their partners. He has occupied numerous important national, regional and international professional positions dealing with science, technology, innovation, earth resources, science policy and science diplomacy.

  Prof. Muhongo is intensively mentoring young scientists, engineers and technologists around the world and has developed a special interest in the application of STI for the sustainable growth and socio-economic development of the global society. Prof. Muhongo, recipient of numerous scholarly and professional awards, recognitions, grants, and fellowships studied geology at the Universities of Dar es Salaam and Goettingen (Germany). He graduated with Dr.rer.nat. degree from the Technical University of Berlin, Germany. Prof. Muhongo is fluent in Kiswahili, English, German and French (basic). s.muhongo@bol.co.tz
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  CV nzito sana.
  Lakini,haitokuwa na maana kwa taifa, kama akishindwa kubadili utendaji na mfumo wa sekta ya nishati na madini hapa TZ.

  Taifa linataraji kuona uwezo huo unajidhiirisha katika sekta anayoisimamia.

  Itakuwa bure kabisa,kama atakubali kutumiwa na wanasiasa wachafu wa CCM na watendaji wengine wa wizara, pasipo kuzingatia maslahi mazima ya taifa.
   
 3. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh jamaa ana CV nzito sana aisee

  khaaa. Anyway tumpe sapoti yetu coz ameanza ulingo wa siasa vizuri pamoja na ugeni wake kwenye siasa alimudu kuoenesha tofauti kidogo ya kimaono na kiutendaji katika wizara nyeti ya nishati na madini
   
 4. B

  Bwaga ya moyoni Senior Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tukimpa ushirikiano atatusaidia sana watanzania huyu mtu. CV yake inatisha. anatakiwa apate ushirikiano wetu ili atembeapo ajue kuna watanzania maskini milioni 39 nyuma yake wanaotamani wakombolewe kutokana na shida zakimfumo uliojengeka ndani ya sekta nyeti anayoiongoza.
   
 5. f

  fishseller Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sospter Muhongo hajawati kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, hana uzoefu katika uongozi na ni mtu mwenye jazba sana. Tuhuma alitozoa dhidi ya wabunge zitamtokea puani. Amefanya makosa makubwa sana kumpigia simu balozi wa marekani ni kumtuhumu kuwa shirika la kuzalisha umeme la Symbion limewaonga wabunge ili kumtetea mkurugenzi wa Tanesco aliyepita. Hili jambo rais Kikwete hakulipenda na anaweza kupoteza nafasi yake ya uwaziri.
   
 6. Kitaeleweka

  Kitaeleweka JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa cv kama hii hana sababu ya kutumiwa na wenye njaa ccm kwani ataiabisha na kujidharaulisha mbele ya jamii. He needs to hold his reputation kwa kuinua sector ya madini nchi hii. Ccm kuna watu ila wakishakaa humo ndani cjui wanaingia mapepo gani. Fanya kazi mzee.


  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 7. k

  kabombe JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,631
  Likes Received: 8,593
  Trophy Points: 280
  Acha kuota mchana.
   
 8. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Sasa we hofu yako nini; tunahitaji watu kama hawa wenye uthubutu na sio wale wanaofanya kazi hili kumfurahisha jk.kama hajamfurahisha jk sisi wananchi ambao ni bosi wake jk katufurahisha.
   
 9. raybse

  raybse Senior Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salute to you prf!! Go go go and lets your colors shine and seen by normal Tanzanians!!
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  CV ya Muhongo imesheheni kwelikweli ingawa kuwa na elimu bora na ya juu ni jambo moja na kuitumia vizuri ni jambo jingine. Tuliwaona maprofesa kama Kapuya, Maghembe, Sarungi na wengine lakini waliishia kuchakachuliwa na CCM kiasi cha kutelekeza taaluma zao na kugeuka vikaragosi vya ufisadi. Tumshauri prof Muhongo aepuke njia ya akina Kapuya na wenzake.
   
 11. A

  Ame JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280

  Yeye mwenyewe hawezi badili mfumo fisadi wa nchi yetu uliojengwa kwa miongo mitatu kuanzia pale Azimio la Zanzibar lilipo ibomoa mising imara ya Taifa letu lililojielekeza katika kujenga uchumi wake kijamaa na kwakutengea rasilimali tulizonazo yaani watu kwa maana ya nguvukazi na akili zao; maliasili yetu; viwanda na nyezo mbalimbali zinazosaidia utendaji kazi na umoja wetu pamoja kama Taifa (Mass active participation in socio-economic activities).....Walaaniwe wote walioshiriki na wanaoendelea kubomoa misingi yetu kwakisingizio cha kwenda na wakati ama kuleta maendeleo huku wakilenga katika kuneemesha matumbo yao na familia zao. Lakini hatima ya yote watu kama Prof. Muhongo wapo na maadamu wapo kwasababu yeye kaanza amekuwa mbegu bora ambayo itamea hata kutoa matunda mengi kusababisha miti yoye miovu isichipue tena...
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Cv yenyewe kaandika mwenyewe Manamini kila kitu
   
 13. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Prof. Muhongo kaza buti kutetea maslahi wa Watanzania wenzio nasi tunakuahidi ushirikiano. CV nzuri sana usikubali mafisadi waichafue kwa tamaa zao.
   
 14. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe kwa 100%!
   
 15. A

  Ame JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine pia pamoja nakuwa siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa nzuri ilihitaji dhamira ya dhati kuiboresha...Bahati mbaya hatukupata watu wakuirekebisha kwa manufaa ya Taifa bali kwaajili ya ubinafsi wa viongozi wakati wa mabadiliko wakaamua kugawana kidogo kilichopo kwamanufaa yao kwakuwa wao waliwahi kufika jikoni kabla ya chakula kuandaliwa mezani...Siasa ile (Original baada ya Azimio la Arusha) ilikuwa na shortcoming moja kubwa....Kutokulipa watu accordigly (Earning what you produce) na pia retirement benefits hasa kwa wasomi na wanasiasa kwani wengi hata baada ya kujitoa sana kuijenga nchi baada ya uhuru hatimaye baadaye kuadhirika (Think of People like Kackson Makweta; the late Prof Machuna etc. ..Namkumbuka Prof. Kapuya wakati ule alipokuwa UD department of Botany kiti na ofisi aliyokuwa nayo haikulingana na cheo chake pia maisha yake yalikuwa duni saanaaa.... Hatari kubwa kwa watu wenye maono na uelewa wajuu (hasa walioenda shule na waliokuwa vinara darasani) they learn quick from mistakes. Nadhani wakaona pakutokea ni kwenye decision making (Siasa) ikabidi waingie huko kwa wingi (You can recall ni wakati huo maprof; Drs etc ndiyo waliibukia wengi kwenye siasa) ndipo walipoamua kugeuza sera na kuzifanya ziweze kuwa mukukuta binafsi japo kwenye majukwaa waliweza kuwa manipulate watu minds zao kuwa ni kwafaida ya kila mtu kumbe behind the curtens wao walikuwa wanajigawia mapande makubwa makubwa ya keki ya Taifa ili kufidia muda wao walioupoteza kwenye academic investments!

  Siasa imekuwa sasa sehemu ya kutajirika haraka na bila kutumia nguvu jambo ambalo ni hatari kwa mstakabali wa Taifa letu kwani nafasi za kisiasa zenye kuweza kuleta neema hiyo nichache na ina ex-clude majority from enjoying the prosperity of their country. Kwamaana hiyo ndiyo maana bishara zote zimefungamanishwa na wanasiasa nao ni wakwepaji wazuri wa kodi...Kwa jinsi hii maendeleo tunayoyatamani yatatokea kwa muujiza upi wakati wengi ni walaji na wanaozalisha kwanza wanazalisha kwakutumia utaalamu duni tena bila elimu sahihi ya uzalishaji hata baada ya kuvuruga elimu yetu ya zamani?

  Hatari ninayoiona kwa Prof. Muhongo ni hiyo hiyo....sijui kama ataweza survive temptations zilizoko mbele yake kwani na yeye ni ama ame retire au yupo karibu sana ku-retire so anakuja gundua hataweza sustain a kind of life was living so kama hajajiandaa vilivyo (which is most likely kwa mfumo wa nchi yetu) anaweza akaanguka katika dhambi haraka na mapema sana....Wengi wa age mates zake waliokuwa nje ya nchi wamerudi nchini na wamejikuta wenzao wako mbele zaidi kimaendeleo (Wame wekeza) kuliko wao kwani huko waliko hawakuwa raia na hivyo uzeeni ndipo reality inapoaanza kuji-unfold. Hivyo wamerudi kama professors in universities kwa contract (a big clap to this government kwakuwakubali kwani pia academicians ni scarce resource nchini kwa sasa which is not my topic ila in nutshellkwasababu ya sera mbovu ya succession). So kuna hii hatari naye yaweza kumkumba na sintoshangaa kama ataangukia kwenye mikono mipana ya ufisadi (Mungu epusha mbali).

  Nchi imegota we need to think big nakukubali kuisaidia kuinasua hapo ilipogotea!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  badala aongeze na kipande ya uwaziri!
   
 17. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hawa ndo jk (kambarage) alisema tusomeshe kwanza watz haf ndo tuchimbe madini yetu au! madini wanakuja kuchimba mageological wa kizungu wenye diploma tu hawa watz wenye profesorz wanakunywa konyagi tu duh! i love my tanzania
   
 18. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Nchi hii na wasomi ni vitu mbalimbali si muda utasikia maandamano tena yanaanzishwa na wasaniiiiiii std 4 negative
   
 19. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pengine. Kwa cv yake kuwa waziri sidhani kama ni deal. Ni kama anatusaidia tu na siyo kuganga njaa.
   
 20. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  [HR][/HR]Huyu hafanyi siasa, anatenda. Asimwambie balozi wa Marekani kama nchi yake imefanya pumba na udanganyifu na wezi wa rasilimali za nchi kisa anaogopa Mkulu atamtoa kwenye nafasi!!! Kwani alimwambia amteue? Huyu hateteleki na kukosa huo uwaziri ni sisi tunaomhitaji yeye bali yeye anahitajiwa na wengi duniani (soma CV).
   
Loading...