Unaamini kwamba kila aliyeko CCM ni tatizo na kila aliyeko CHADEMA ndiye suluhisho??Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema
kama tatizo sio watu ni ccm; hebu nambie ccm kama chama tatizo lake ni nini(ukiweka mbali watu ambao unasema si tatizo)?Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema
Unaamini kwamba kila aliyeko CCM ni tatizo na kila aliyeko CHADEMA ndiye suluhisho??......
Mkuu unakuwa mgumu sana kuelewa, Mkuu DAMA hapo amekwambia tatizo siyo watu bali tatizo ni mfumo mzima wa CCM. Kinachotakiwa ni kuachana na uhuu mfumo uliojengeka unaoitwa ccm.....
kama tatizo sio watu ni ccm; hebu nambie ccm kama chama tatizo lake ni nini(ukiweka mbali watu ambao unasema si tatizo)?
Shika adabu yako!!....
Mafisadi na wachumia tumbo wametufikisha hapa tulipo napata uchungu sn na huruma mno nawadha bila kupata suluhisho. Watoto wengi sana na wakina mama hawana hata mlo mmoja kwa siku wanahangaika mtaani, wamekuwa omba omba. Nchi yetu ina rasilimali za kutosha hatuhitaji kufika huko. Wanyama wanatoroshwa wazima na mchana kweupe. Tunahitaji ukombozi i am tired so tired i can not tolerate any more!!!! I am crying why this to us no no no !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
........
Uhovyo wangu ni kwa kulitaja jina la Muhongo? Muhongo majibu yake kuhusu Gesi uliyasikia?Thread ya kijinga kabisa hii, Dr Slaa na Muhongo wapi na wapi!! Muhongo mkoa mmoja wa Mtwara unamshinda kwa swala la gesi tu halafu ndio unaongelea Urais!? wewe ni mtu wa hovyo kabisa.
Unaamini kwamba kila aliyeko CCM ni tatizo na kila aliyeko CHADEMA ndiye suluhisho??.....
kama tatizo sio watu ni ccm; hebu nambie ccm kama chama tatizo lake ni nini(ukiweka mbali watu ambao unasema si tatizo)?.......
Uhovyo wangu ni kwa kulitaja jina la Muhongo? Muhongo majibu yake kuhusu Gesi uliyasikia?
.....