Prof Sospeter Muhongo Unasubiri nini?

Prof Sospeter Muhongo Unasubiri nini?

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,553
Waziri wa nishati na Madini Prof Dr Sospeter Muhongo, tunakuomba ujiudhulu nafasi uliyo nayo sababau umeshindwa kabisa kuiongoza wizara. Vurugu zilizotekea Mtwara kupelekea kuuwawa kwa wananchi na uharibu wa mali za serikali na raia ni ushahidi tosha unahusika. Kulazimisha Gas ije Dar es Salaam kufurahisha wakubwa zako (KInana na wingine) bila kujali wananchi wazawa wa Mtwara ni udhaifu wa kiuongozi. Hili suala kutizamwa kisiasa kuliko uhalisia utaigharimu serikali ya CCM. Tafadhali jiudhulu kuepusha madhara zaidi maana jina lako tayari limeingizwa kwenye historia Prof asiye na uwezo wa kufikiri na kuamua.

Mch Masa Safarini Mtwara
 
hivi kwani Prof Muhongo alikuja katika hii wizara akakuta mradi tayari ama alikuta bado?? hivi kwann usiseme kwamba liwajiabishwe bunge lote ambalo wao ndio waliounga mkono hoja ya mradi kuwepo??

je waliposema mradi uwepo na uanze walishaufanyia tathmini stahiki?? je kabla ya project implementation waliwashirikisha wananchi wakajua wananchi wanataka nini??

je wafikiri angekuja na jibu gani ilihali pesa nyingi zimeshachimbiwa chini kwenye ujenzi wa mabomba?? je viongozi na hawa wananchi wa mtwara wakiongozwa na wabunge wao walikuwa wapi wasitoe madukuduku yao kabla ya mradi kuanza ili wahoji watafaidika je na watoe mawazo yao wanataka mradi uweje??

kimsingi ningekuwa mm ningeanza na wabunge na viongozi hadi wa kata na vijiji wa mtwara as wao walikuwa ni watu muhimu sana wa kusema wanataka mradi uweje na kwann hawakusema haya kabla ya mradi kuanza.
 
Mulongo ndiye waziri mwenye dhamanama, collective responsibility aanze yeye...wabunge wa CCM ni tatizo lingine
 
thred kama hii ya kujifunzia ni matumizi mabaya ya saver na jamiiforum kwa ujumla
 
kwa nini wasisimamishe ujenzi wa bomba mpaka sera ya gesi ikamilike? mambo ya hila yanawarudi ccm
 
Njia nzuri ya kuwafukuza watu ni Kugombea Uraisi. Hivi hii Ges haitakua na faida yoyote kwa Taifa? kama ni kweli kama ujapata bado Urais unaweza kwenda Mahakamani kumshitaki Prof Muhongo maana anaua watu. Ukishindwa yote piga kimya maana hauna hoja.
 
Shida iliyopo wajanja wameisha gawana chao. Gharama za ujenzi imekuwa inflated 4 times. Liwalo na liwe bomba litajengwa kwa gharama za maisha wa wanamtwara
wakiungwa mkono na watu wa kanda nyingine itakuwaje?
 
Sijakuelewa kabisa
Akiondoka Muhongo, na wachochezi walioko bungeni waondoke.

Kuna kitu zaidi hapa, sijanunua hii aidia ya vurugu bure bure tu
 
muhongo ataendelea kuchapa kazi kama kawaida, hayo majungu yenu huko huko!!!!!!!
 
kwa nini wasisimamishe ujenzi wa bomba mpaka sera ya gesi ikamilike? mambo ya hila yanawarudi ccm

serikali hupanga mipango yake haipangiwi na watu tafuta serikali yako ambayo itakuwa inapangiwa na wananchi.
 
Mulongo ndiye waziri mwenye dhamanama, collective responsibility aanze yeye...wabunge wa CCM ni tatizo lingine
Masanilo kwa staili hii, wizara ya nishat na madini haitakaa ipate waziri period.

ifike mahali watu wawajibishwe kwa makosa yao ya nyuma hata kama hawapo madarakan kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu gfsonwin kuna watu wengi sana inabidi wawe magarezani, lakini udhaifu uliopo ndiyo hao mawaziri na viongozi wa juu hapa Simtaji Kinana peke yake, akina Chenge, Malecela, Lowassa, Jairo, Ekerenge, Blandina Nyoni etc etc
etc etc
 
Last edited by a moderator:
hivi kwani Prof Muhongo alikuja katika hii wizara akakuta mradi tayari ama alikuta bado?? hivi kwann usiseme kwamba liwajiabishwe bunge lote ambalo wao ndio waliounga mkono hoja ya mradi kuwepo??

je waliposema mradi uwepo na uanze walishaufanyia tathmini stahiki?? je kabla ya project implementation waliwashirikisha wananchi wakajua wananchi wanataka nini??

je wafikiri angekuja na jibu gani ilihali pesa nyingi zimeshachimbiwa chini kwenye ujenzi wa mabomba?? je viongozi na hawa wananchi wa mtwara wakiongozwa na wabunge wao walikuwa wapi wasitoe madukuduku yao kabla ya mradi kuanza ili wahoji watafaidika je na watoe mawazo yao wanataka mradi uweje??

kimsingi ningekuwa mm ningeanza na wabunge na viongozi hadi wa kata na vijiji wa mtwara as wao walikuwa ni watu muhimu sana wa kusema wanataka mradi uweje na kwann hawakusema haya kabla ya mradi kuanza.

Kinachotatiza Mtwara sio mradi wa gesi bali mchakato uliopelekea mpaka tunafika kwenye mavuno ya gesi katika kufanya maamuzi ya uvunaji, usimamizi na mgao wa mapato haieleweki wananchi wa eneo husika watafaidikaje. Ingawa sitoki Mtwara, lakini naamini kuwa kulikuwa na haja ya haya mambo pia kuwekwa wazi badala ya kufanya kama kile kinachotokea kwa wenzetu wanyamwwezi na wasukuma ambako dhahabu na almasi za nchi hii zinavunwa kwa wingi na kufaidisha hata wakenya wakati wao hata lile pato la taifa bila shaka wanambulia kupewa kwa ahadi za kisiasa tu
 
Wanaambulia kuachiwa Mashimo na kuharibiwa kwa Mazingira kwa viatirishu kama Zebaki (Mercury) kwenye mifumo ya maji na kuletewa madhara kiafya.
 
Am sorry but every time when i See this Prof. I remember about his wife.
He is very dangerous, a murderer i wonder why he is a minister while we all know that he kill his wife just because he doesn't love her anymore.

Back
Top Bottom