Nasema, ningekuwa CCM leo hii ningeanzisha maandamano ya kumtaka JK amtimue leo leo kabla hajafika home. Kama kweli JK anaitakia CCM mema, amtimue huyu, mchochezi na mzushi, Prof. Muhongo.
Just imagine, anatoa masaa 4 mtu ajiandae na writeup ya mabilioni ampelekee. Huu ni ukichaa kabisa. Hao wazungu wake aliwapigia simu na kuwaambia watumie hayo masaa? Kesho ni holiday, huyo mzawa atapatapi hizo data?
Halafu mabuku 7 yanakenua mimeno humu kufurahia hotuba ya kipuuzi kama hii. Shame on yu.
Gas ni mali ya Watanzania, angekuja na mpango hata wa kuonesha ni vipi Mtwara watafaidi kuchimba hata wao pia. Hata kama ni kuingia ubia na hao wenye uwezo, kingeniingia akilini. Kinyume cha hapo nasema, UPUUZI MTUPU. Tz tumeliwa tu