Hopeless Muhongo, kwa vile watanzania hawana fedha ya kuwekeza, ndio anahalalisha maliasili zetu kupoolwa kutuachia mashimo. Mnamsifia kwa lipi katika hotuba yake ya leo. nilidhani ataongelea namna ya kuwawezesha watanzania wachimbe! Nyeree alisema myaache mpaka hapo mtakapokuwa tayari. Au kuwer na win win situation. critically thinking mind inayojali maisha ya watanzania hawezi sifia hotuba ya kibepari kama hiyo
Msomi mzuri kwangu Mimi Hi yule anayetumia elimu na ujuzi wake katika kuwatumikia na kuwanufaisha wananchi ambao kuyokana na modi zao ameweza kusomeshwa hadi alipofikia. Kinyume cha halo Kama so mchumia gumbo ama ni kibaraka wa waporaji tunaowaita multi nationals.. Kama nchi ndogo km Malaysia ktk miaka ya 80 iliweka mikakati ya maksudi ya kuwapa mitaji na ardhi wanachi wakewa kipato cha think Ili walime mawese, iliyoiwezesha nchi hiyo baada ya miaka Kumi kuwa mzalishaji mkuu duniani wa mafuta ya mawese, Tanzania inashindwa mini kuiga mfano huo?!!