Prof. Shivji katika hili amechanganya madesa

Prof katukumbusha utamaduni wa kujenga hoja kwa njia ya kistaarabu

mnaomkosoa nanyi leteni paper ili tusome

mjadala wa wasomi lazima uwe tofauti na wanasiasa ambao wao hoja zao huwa nyepesi nyepesi na za blaa blaa
 
Safi, wamjibu professor kwa hoja sio vihoja.
 
Common denominator: wote wameondolewa na serikali katika maeneo waliyokuwa wanaishi.
Mbaya zaidi waliokuwa Kimara wengi walikuwa na hati.
Ungejituma kupanua akili yako zaidi ya hapo ungeona tofauti kubwa zilizopo katika sehemu hizo mbili.
Wakati ukiamua kufanya hivyo, nakukumbusha kwamba sisemi kuwa watu wa Kimara hawakustahiri haki.
 
P
Pinguza kunywa mataputapu, namba moja unasema hakuna anayehamishwa, namba 2 Kuna wanaohamishwa! nini hiki.
 
Halafu eti ni mwanasheria. Uzee unamtafuna, akili inarudi kuwa ya kitoto.
 
Ungejituma kupanua akili yako zaidi ya hapo ungeona tofauti kubwa zilizopo katika sehemu hizo mbili.
Wakati ukiamua kufanya hivyo, nakukumbusha kwamba sisemi kuwa watu wa Kimara hawakustahiri haki.
Nafikiri wewe ndio una akili finyu.
Tofautisha property value ya watu wa kimara na wale wa huko maporini.
 
Nafikiri wewe ndio una akili finyu.
Tofautisha prperty value ya watu wa kimara na wale wa huko maporini.
Oooh. Mungu akusamehe kwa haya uliyoandika hapa.

Sina nia tena ya kuendelea nawe.
In fact, nakufahamu vizuri toka zamani ulivyo na upungufu mkubwa kama binaadam.
 
Prof shivj kaja na tafsiri ya vifungu vya sheria juu ya umiliki au urithi wa ardhi, nashauri nawe umkos
oa kwa kutoa tafsiri ya sheria hizo hizo kwa namna unavyoona ww kuwa kakosea
 
Aliyetengeneza keyboard ametuletea matatizo sana, kila mtu anayejua herufi sasa yupo huru kuandika chochote.
 
Wamasai ni watanzania ndio maana wako kila mkoa. Na wanatambulika kama wa Tz sio WAKENYA
 
Wamasai ni watanzania ndio maana wako kila mkoa. Na wanatambulika kama wa Tz sio WAKENYA
Sasa kwa kuwa ni waTanzania hasa, msiwaonee kwa kuwanyanyasa kwa kuwanyima haki yao ya kuishi huko mnakotaka kuwafukuza na kuwapa wageni. Waacheni wafaidi nchi yao bila manyanyaso.

Hakikisheni hao walioko Kenya wanabaki huko huko, wasituletee vurugu huku. Hili ni jukumu la serikali.
 
Wewe ngozi nyeupe?? Mjibu kwa hoja usilete dharau za ngozi ya mtu.

Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
Hata wewe ni mweupe pee kichwani! Elewa mada wacha mihemko utasutwa!
 
Professor Emeritus alivyouliza na kueleza, kaweka reference, na kutoa shule vizuri, quantitatively na qualitatively, wewe unakuja na majibu mepesiiii! Yeye kauliza ardhi ni ya nani? Anzia hapo kwanza
 
Na wewe mwangikie barua ya wazi mhusika. Au unamjibia labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…