Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,648
Kazunguka tanzania nzima lakini hajawahoji watanzania wote. Isitoshe anatoa takwimu mbovu kuunga mkono hoja ya serikali tatu. Kauli yake kwamba bunge la katiba halina uwezo wa kubadili hoja za msingi za rasimu ni sawa na kusema bunge hilo halina uwezo wa kutupilia mbali rasimu hiyo kitu ambacho sio kweli.
soma sharia rasimu inatupiliwa mbali kwa kura na wananchi waliotoa maoni...