hiyo ni lugha ya kisheria, wanasheria woote duniani wanaitwa "learned brothers au learned sisters"...yaani wanasheria wasomi. ni jina linalotumika dunia yote unapo address mwanasheria mwenzio mahakamani....hata mwenye degree moja huitwa mwanasheria msomi, hata professor ni mwanasheria msomi. ila kwa prof huyo unayemwongelea, hajapractice sheria, ninyi sio wanasheria ndio maana hamjui tasnia ya sheria inafanyaje kazi. ukiwa profesa wa sheria na haujawahi kupractice mahakamani, wewe ni sawa tu na mwanasheria anayemaliza degree ya kwanza amesoma tu theory hajapractice bado mahakamani, sheria ni mahakamani sio ofisini. huyo hata Bar examination hajawahi kufanya, hajawahi kuwa mwanasheria wa kuappear mahakamani, ni mtu wa darasani tu, sasa sheria sio theory, yale yanayofundishwa na darasaani ni kidogo sana kutumika mahakamani, hivyo hata mwenye degree ya kwanza anafaa kuwa mwanasheria aliyebobea kuliko yeye.Unazi kweli ni NOUMA
Mtu ni profesa wa sheria,
Lecturer wa wanaosomea phd ya Sheria
Amebobea kwa uzoefu wa miaka tele
Bado inakuuma akiitwa NGULI WA SHERIA...
Mbona sijakusikia ukihoji yule dogo anayejiita Wakili MSOMI as if kuna wakili ambaye hajasoma
Au mwanasheria nguli ni LISSU pekee
Teh teh teh teh teh teh teh......
Aise ww kweli Nyumbu, yaani unashindwa kumhoji wkt anatafta nafasi eti unasubiri umiWewe ndio mpumbavu kabisa. Unaelewa maana ya chama tawala ni nini? Ndicho kinasimamia serikali na lazima wateule wake wawe na msimamo mmoja.
Huwezi kuendesha serikali na ideology za aina mbili. Chadema au TLP tutawahoji hilo ujinga wako unalofikiri kama wamepewa madaraka.
Kesho mtahojiwa kitu mtaanza mbona Dovutwa yuko hivi au vile.
Kabudi anaweza kuharibu credibility yake kwa kujichanganya na mambo ya kiccm
Nilibahatika kuwa mwanafunzi wake wa Family Law. Naomba angalau ANDIKO LAKE MOJA AU MCHANGO WAKE KWENYE TASNIA HII YA SHERIA POPOTE PALE DUNIANI Tafadhali! Sijui kama anaweza kuwa hivyo usemavyo. Nijuavyo ana sifa nyingi, ila haajandika hata page kadhaa...kwenye maeneo yake.Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Nilibahatika kuwa mwanafunzi wake wa Family Law. Naomba angalau ANDIKO LAKE MOJA AU MCHANGO WAKE KWENYE TASNIA HII YA SHERIA POPOTE PALE DUNIANI Tafadhali! Sijui kama anaweza kuwa hivyo usemavyo. Nijuavyo ana sifa nyingi, ila haajandika hata page kadhaa...kwenye maeneo yake.
Nina mashaka na Maprofesa na watu wenye Umri mkubwa. Awajui mtaani kukojeAliturostisha kwenye kesi ya mgombea binafsi alipoitwa kama friend of the court mahakamani akaongea utumbo mpaka tukakosa mgombea binafsi sidhani kama amebakiza jambo la maana kwa wananchi
Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Tutaona kama Mbunge wa kuteuliwa na Rais na mwenye weledi wa sheria kama atasimamia hoja yake ya serikali tatu.
Akipinga maandiko yake kama Mwakyembe ndio tutaamua kama anao weledi kama anavyo fikiriwa au laa
uwezi kutewuliwa nafasi hyo nyeti na kwa nafasi kama ya Prof, Bila mamlaka za uteuzi kuwasiliana na wwkwa hiyo yeye ndio ameomba