Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.

Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.

Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.

Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.

UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.

Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.

hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
....Tundu naamini kwa sasa anatafuta tundu la kutokea
 
ww hamis umekula hela za michezo ud ukajiuzulu unakimbia jf,hufai ww ni kifisad kitot
 
Prof kaingia cha kike,kwa chama hicho namna wanavyofanya siasa za mazingaombwe namuona Prof akipiga swaga za kina Kibajaji kwa kujitoa ufahamu na hatimaye Prof anapoteza hadhi.
Afadhali waondoke katika platform ya kuweza danganya watu.Sasa sura zao halisi zitaonekana.
 
Hakuna mtu aliyewai kufahulu kwa maksi za juu udsm kitengo cha sheria kumzidi yy....he is purely academician .....sijui kama vita ya man to man ataiweza
 
Nadhan kwa level ya usomi wa kabudi alipaswa kukataa teuzi hizo,
What he is really missing?
Zaid atakwenda kuaibika,katika maeneo yasiyo na staa ni siasa.Kupitia siasa tutajua mambo mengi sana
 
Mkuu CCM na jpm amesababisha laana nchini. Mungu alitulaani kwa kutaka kwetu laana.

Huyo siyo muarobaini ila inaingia kwenye mkondo wa laana na atalaanika
 
hahaha unachekesha kabisa wewe mkeketaji. Hivi hao akina Tundu wameshindwa nini kumtoa Lema? Mbona wakishinda kesi wanasema ni manguli, ila wakikwama wanasingizia serikali, why???

Mwambie mwenyekiti wako asiweke shinikizo uone kama hatotoka.
 
Nimekusoma mkuu, utetezi wa maslahi jata huyo Lissu ni mmojawao. Huwezi kumponda mtu kwa miaka minane halafu ndani ya miezi mitatu unakuja kusema analifaa taifa, kama wewe sio mtetezi maslahi.
Na ubaya wa utetezi maslahi ni kwamba kwa maneno mengine unaweza kuitwa unafiki. Kwenye baadhi ya dini ukiitwa mnafiki adhabu yako ni kifo.
Ni ngumu kwa sasa kusema kusema Tundu Lissu ni mmoja wapo wa watetezi maslahi kwa sababu, hata huyo Kabudi tunaanza kujadili sasa baada ya kupata huo uteuzi kwamba, je; ataendelea kutetea anachokiamini au atageuka kuwa mtetezi wa wale waliomteua!

Anyway, ni bahati mbaya sana upande wa maslahi tunauhuisha ule wenye mkono wa serikali na si kinyume chake vinginevyo; kila mmoja tungesema ni mtetezi maslahi kwa sababu; more often than not, atatea kule aliko!

Nimeanza kumfahamu Lissu (just kwa kumuona kwenye TV) awamu ya Mkapa na enzi hizo akiwa LEAT na tangia hapo nadhani ameekuwa upande wa upinzani!! Sasa kwavile hajawahi kuwa upande wa serikali kwa miaka mingi sasa; iwe kwa kupitia teuzi au angalau kwa hoja kama alivyokuwa anashutumiwa Zitto; basi ni ngumu kusema nae ni mtetezi maslahi unless tuamue kila anayetetea kule aliko basi nae ni mtetezi maslahi! Na kama ndivyo, basi hata huu mjadala hautakuwa na maana tena manake hata huyo Kabudi, hapo kabla, at least hadi jana, alikuwa ni mtetezi wa kule alikokuwa!!

Picha ya Lissu itaondoa shaka yote hii endapo nae atakutana na mtihani kama aliopata Kabudi au angalau ikiwa itatokea kama ilivyokuwa imetokea kwa wenzake akina Dr. Masumbuko Lamwai!!!!
 
Hahaha; unakumbuka alivyo kua anamwita Mh. EL fisadi papa? Mi nakumbuka alivyo agiza chai ya maziwa pale ikulu alipokaribishwa na JK. Pia nakumbuka alivyo bariki/tetea uteuzi wa EL kuwa mgombea urais kwa kutumia katiba ya CDM bila ya kujali kuwa walikua wanawaita makapi. Labda siasa ndo ilivyo!!!
Kwani Ikulu alienda kutetea asichokiamini?!

Kuhusu EL hii inafahamika hilo ni moja ya makosa makubwa CHADEMA kuwahi kuyafanya haidhuru hata kama wanajaribu ku-justify! Na ni makosa makubwa si kwa sababu EL ni fisadi au sio fisadi bali kwa sababu ni wao wenyewe ndio walizunguka nchi mzima kutangaza kwamba EL ni fisadi!!
 
Ni ngumu kwa sasa kusema kusema Tundu Lissu ni mmoja wapo wa watetezi maslahi kwa sababu, hata huyo Kabudi tunaanza kujadili sasa baada ya kupata huo uteuzi kwamba, je; ataendelea kutetea anachokiamini au atageuka kuwa mtetezi wa wale waliomteua!

Anyway, ni bahati mbaya sana upande wa maslahi tunauhuisha ule wenye mkono wa serikali na si kinyume chake vinginevyo; kila mmoja tungesema ni mtetezi maslahi kwa sababu; more often than not, atatea kule aliko!

Nimeanza kumfahamu Lissu (just kwa kumuona kwenye TV) awamu ya Mkapa na enzi hizo akiwa LEAT na tangia hapo nadhani ameekuwa upande wa upinzani!! Sasa kwavile hajawahi kuwa upande wa serikali kwa miaka mingi sasa; iwe kwa kupitia teuzi au angalau kwa hoja kama alivyokuwa anashutumiwa Zitto; basi ni ngumu kusema nae ni mtetezi maslahi unless tuamue kila anayetetea kule aliko basi nae ni mtetezi maslahi! Na kama ndivyo, basi hata huu mjadala hautakuwa na maana tena manake hata huyo Kabudi, hapo kabla, at least hadi jana, alikuwa ni mtetezi wa kule alikokuwa!!

Picha ya Lissu itaondoa shaka yote hii endapo nae atakutana na mtihani kama aliopata Kabudi au angalau ikiwa itatokea kama ilivyokuwa imetokea kwa wenzake akina Dr. Masumbuko Lamwai!!!!
Mkuu siasa ni mchezo mchafu. Kinachozungumzwa hadharani mara nyingi hakuuwakilishi usafi wa mtu kimaadili.

Kuna minong'ono kuwa yule mkuu wa kyela anataka kuachana na nafasi yake kwa sababu binafsi za kifamilia.

Ndio maana JPM ameona bora ampe ubunge Kabudi ili aende akairithi nafasi. Naamini hawezi kwenda kinyume na msimamo wa bosi wake kikazi.

Yapo mengi zaidi ya suala la serikali tatu, ambayo msomi huyu anaweza kuyafanya kwa faida ya Tanzania.
 
Ila njaa ni mbaya katika maprof. wote wanaochaguliwa hakuna ata mmoja aliyeomba kutenguliwa kwa uteuzi wake ili aendelee taaluma yake ya kufundisha.
 
Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.

Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.

Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.

Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.

UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.

Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.

hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Hao walioko kwenye hiyo picha ndio wanani hao?Kuna kitu kimeharibu hiyo picha, mtu asiye na staha aweza kunena maneno machafu kuhusu hiyo picha.
 
Hata uwe professor ukishaingia kwenye siasa uwez itwa tena mtahalamu maana utakuwa unasukumwa na collective responsibility na kuheshimu aliekuteua
 
Back
Top Bottom