Hamis Abeid mr amazing
Member
- Jan 15, 2017
- 12
- 15
Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)