Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kawa aibisha wagogo wenzake
Prof wa jalalani
Prof wa jalalani
Prof wa jimbo la tumbo lake
nimecheka sana niliposoma jana mahala eti tunawakaribisha wawekezaji toka Rwanda...imagine?
aisee hii nchi inakoelekea siko kabisa!
Acha uongo betty mkwasa(chalamila),charles hillary,Ahmed kipozi na Abubakar liongo wote hao walikuwa Radio Tanzania(TBC) hata ITV ilikuwa haijaanzishwa nadhali ulikuwa hujazaliwa
Kwa akili yako wewe muwekezaji ni nani?
Yani mzungu alitutawala a kaondoka na akili zetu kiasi kwamba hata vijana waliozaliwa juzi nao akili zao zilishaondoka na mzungu!
Kwamba kwako wewe muwekezaji ni mzungu tu kutoka ulaya basi.
Akili kisoda hizi.
Mimi ni firilensa tuu.Kwahiyo wewe hapo upo kundi gani mkuu Mayalla?
Mimi ni freelancer.
P
Kwa kawaida, zile bahasha, mimi ndio huwa msambaza.Hongera mkuu maana naamini bahasha ya khaki ilitembea
Hapo sasa watembeza bakuli tunawatembezea bakuli.SADC wenyewe wanatembeza bakuli
Kama kawa lazima uwazidi wenzako maana utakuwa jikoniKwa kawaida, zile bahasha, mimi ndio huwa msambaza.
P
Ndiyo kisa cha Pombe kwenda Sauzi, Namibia na Zimbabwe. Angesusiwa mkutano.Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNCC, kuhudhuria press conference ya Waziri Kabudi.
Karibuni
Paskali.
UPDATE
Press Conference imeanza kwa intro kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
Kwenye utambulisho,
Waziri Kabudi, amemtambulisha, Emanuel Buhohela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari, Wizara ya Mambo ya Nje.
Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.
Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.
No siwezi kuwazidi kwa sababu mimi huwa sichukui bahasha.Kama kawa lazima uwazidi wenzako maana utakuwa jikoni
UnafaaNo siwezi kuwazidi kwa sababu mimi huwa sichukui bahasha.
Waandishi wakifika, wana register, kisha majina yanakwenda kwa muwezeshaji, anatoa hesabu sawa na majina, unakabidhiwa bahasha zao halali za usafiri, kila anayepokea ana saini, kisha unafanya retirement.
P
Jaffary haniuBuhohela sio Junior na sio private. Rais anaweza kumteua yoyote kuwa mkurugenzi popote ali mradi ana sifa na vigezo. Baada ya ile kazi nzuri ya kampeni 2015, timu yote waliajiriwa Ikulu, miaka 4 inatosha kabisa kumpika mtu kuwa Mkurugenzi. Mwenzake Haniu pia ni Mkurugenzi AMG.
P
No sio mnafaa, huku kwenye kufaa nimeishapitiliza, mwakani ni tools down.Unafaa
No sio mnafaa, huku kwenye kufaa nimeishapitiliza, mwakani ni tools down.
P.
Paskali wamemsahau Marehemu Dr Mvungi nae aliwai kuwa mwandishi wa HabariPia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.
Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.
P
umri...Kwanini mkuu wakati unajipatia kifungua kinywa alafu unafanya maamuzi magumu?
Pamoja sanaumri...
P
Nahisi alimtaja mimi ndio sikumwandika.Kwanini mkuu wakati unajipatia kifungua kinywa alafu unafanya maamuzi magumu?