Prof. Palamagamba Kabudi atangaza Tanzania kuwa M/Kiti na mwenyeji wa mkutano 39, wa SADC

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,905
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,905 2,000
Mkurugenzi wa Hanang Haris Kapiga ana uzoefu Gani serikalini? Acha ukuda mamlaka ya Rais yana ukomo baadhi ya nafasi tu kwengine anatwanga tu
1. Kwanza sio Harris Kapiga, ni Hudson Kamoga.
2. Sio Hanang ni Mbulu.
Kwa sasa mtu kuteuliwa mkurugenzi serikalini, sio lazima kuwa na uzoefu kivile, ile ilikuwa ni serikali ya analogia, sasa serikali ni ya kidigital, vetting ikisema yes, unateuliwa tuu.
Kamoga is good and he is doing fine.
P
 
Freddie Matuja

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
356
Points
1,000
Freddie Matuja

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
356 1,000
She is intelligent and cute, in short she is BBB, (bright, brilliant beautiful).
P
JPM siku akitoka Watanzania tutamkumbuka kwa sifa ya kuteua/kuwapa nafasi watu toka private sector kama Buhohela na kumpa fursa kufanya kama msaidizi wa Kurugenzi mawasiliano pale nyumba nyeupe na sasa kwa mkurugenzi wa habari Foreign affairs;

Kafulila alikuwa kitaa baada ya kukosa ubunge, akapewa kuwa RAS,

Kamoga katoka kuwa producer na mtangazaji wa 360 na kuwa DED; wapo wengi pia kama akina Gondwe nao kushika nafasi za kisiasa.

Basically huu ni Utanzania maana wanaofanya ni Watanzania na kuwatumikia Watanzania.

Kila la kheri wateuliwa. Mungu awasaidie mtimize majukumu vyema ili kutoku- discourage fursa za wateuliwa wengine ambao wataonekana kuwa na sifa toka Private sector aka kitaa
 
MLUGURU

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
1,231
Points
2,000
MLUGURU

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
1,231 2,000
Fffs
Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.

P
Bila shaka Tanzania sio nchi ya kwanza kuwa mwenyeji, Waziri wetu anapaswa kujua hilo.

Tumejipangaje kutumia fursa yakuwa wanachama wa SADC ili kuinua uchumi wetu?

Malawi, Zambia, Mozambique, Namibia, Botswana, Swazirland, South Africa, Angola ni nchi ambazo zina fursa nyingi sana ambazo tukizitumia vizuri tunaweza kuingiza fedha nyingi sana na kuwatengenezea watu wetu mzunguko mkubwa sana wa kibiashara..
Ngef
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
12,223
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
12,223 2,000
Kabudi akipata madaraka ya juu kabisa ya nchi, atakuwa Dikteta mmoja hatari hajawahi kutokea Afrika!
 
MLUGURU

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
1,231
Points
2,000
MLUGURU

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
1,231 2,000
Ni vyema tujitahidi sasa kuishi kwa faida ya watu wetu kama USA, kuwepo kwetu kwenye hizi jumuiya kuwe kwa faida ya watu wetu na sio kuishia kwenye makongamano, warsha, vikao nk.

Malawi, Zambia, Botswana ni land locked, hebu tutumie fursa yetu yakuwepo SADC kuboresha reli ya Tazara na kujenga KONTENA TERMINAL kubwa pale Tunduma na KONTENA zao zote zifike pale kupitia reli. Wanapoagiza mizigo yao kutoka Nje kupitia shirika lolote la Meli kuwe na Connection ya moja kwa moja KONTENA zipokelewe Tunduma na kila kitu kifanyikie pale na Dar es salaam port iwe transit port na pale Tunduma iwe destination port. Mizigo ya DRC hasa Katanga province yote itaishia kwenye hiyo terminal..

Hicho pia kinaweza fanyika Kigoma na Bukoba, Unajenga Kontena terminal kubwa na zinakuwa destination port kwa mizigo ya DRC hasa Kivu, Bukavu nk, Wanyarwanda na Waburundi pia watachukulia Kontena zao straight kwenye hizi terminal.

Miji ya MBEYA, TUNDUMA, KIGOMA NA BUKOBA Itkauwa Centre of business na mzunguko wake utakuwa mkubwa, kipato cha wakazi kitakwenda juu, watu watapata ajira nyingi, mikoa hiyo itaendelea kwa kasi, Dar es salaam Msongamano utapungua lakini pia Bandari itakuwa busy na mapato kuongezeka.. VERY SIMPLE IDEA TUJARIBU KUWA WABINAFI WA TAIFA LETU.
Kabudi anaendelea, kueeza umuhimu wa mkutano huu, hivyo ameviomba vyombo vya habari, kushiriki kikamilifu, kuutangaza mkutano huu.

P.
Dt
”Mwenda tezi na homo, marejeo ngamani” ni maneno ya Prof. Kabudi, hivyo media ya Tanzania ifanye uzalendo kwa kuvutia nyumbani.
P
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNCC, kuhudhuria press conference ya Waziri Kabudi.

Karibuni

Paskali.

UPDATE
Press Conference imeanza kwa intro kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Kwenye utambulisho,
Waziri Kabudi, amemtambulisha, Emanuel Buhohela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari, Wizara ya Mambo ya Nje.

Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
74,318
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
74,318 2,000
Hivi Buhoela ni kabira maana hilo jina sipati ni kutoka mkoa gani!
Press Conference imeanza kwa intro kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Kwenye utambulisho,
Waziri Kabudi, amemtambulisha, Emanuel Buhohela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari, Wizara ya Mambo ya Nje.

P
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
74,318
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
74,318 2,000
Pascally mbona unarudia rudia ulichokwisha kiandika?au ndio mbinu za uandishi wa habari hizo?
Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.

P
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
74,318
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
74,318 2,000
Hiyo ndiyo inatakiwa kuitwa tv ya taifa
Tena Mkurugenzi wa ITV/Radio One, Joyce Mhavile, na Mhariri Mkuu, Stephen Chuwa, wapo.
ITV ni chungu cha kupika vipaji, kuanzia Betty Mkwasa, Godwin Gondwe, Charles Hillary, Susan Mungi, Ahamed Kipozi, Aboubakar Liongo, Millard Ayo na wengine wamepikwa ITV/Radio One.
P
 
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
2,539
Points
2,000
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
2,539 2,000
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNCC, kuhudhuria press conference ya Waziri Kabudi.

Karibuni

Paskali.

UPDATE
Press Conference imeanza kwa intro kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Kwenye utambulisho,
Waziri Kabudi, amemtambulisha, Emanuel Buhohela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari, Wizara ya Mambo ya Nje.

Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.

Nauliza tu mbona sijawahi kusikia mpango wa pamoja wa maendeleo wa SADC kama reli, barabara, umeme, elimu etc
 
Forum statistics

Threads 1,307,088
Members 502,332
Posts 31,601,272
Top