Prof. Palamagamba Kabudi atangaza Tanzania kuwa M/Kiti na mwenyeji wa mkutano 39, wa SADC

Zimbabwe kununua koroshow zetu
Kwa akili yako wewe muwekezaji ni nani?

Yani mzungu alitutawala a kaondoka na akili zetu kiasi kwamba hata vijana waliozaliwa juzi nao akili zao zilishaondoka na mzungu!

Kwamba kwako wewe muwekezaji ni mzungu tu kutoka ulaya basi.

Akili kisoda hizi.
 
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNCC, kuhudhuria press conference ya Waziri Kabudi.

Karibuni

Paskali.

UPDATE
Press Conference imeanza kwa intro kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Kwenye utambulisho,
Waziri Kabudi, amemtambulisha, Emanuel Buhohela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari, Wizara ya Mambo ya Nje.

Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.
Ndiyo kisa cha Pombe kwenda Sauzi, Namibia na Zimbabwe. Angesusiwa mkutano.
Wangetuma Ma VP wao au mawaziri kama afanyavyo yeye.
 
Kama kawa lazima uwazidi wenzako maana utakuwa jikoni
No siwezi kuwazidi kwa sababu mimi huwa sichukui bahasha.
Waandishi wakifika, wana register, kisha majina yanakwenda kwa muwezeshaji, anatoa hesabu sawa na majina, unakabidhiwa bahasha zao halali za usafiri, kila anayepokea ana saini, kisha unafanya retirement

Ila jungu kuu halikosi ukoko, mara moja moja kwenye international beat, ukiwaita watu kama reuters, BBC, DW, VOA, na baadhi ya vyombo makini, waandishi wana register, event ikiisha, wanatimka zao, hawasaini, hivyo lile fungu lao, nalifanyia consideration, kama bahshish.
P
 
No siwezi kuwazidi kwa sababu mimi huwa sichukui bahasha.
Waandishi wakifika, wana register, kisha majina yanakwenda kwa muwezeshaji, anatoa hesabu sawa na majina, unakabidhiwa bahasha zao halali za usafiri, kila anayepokea ana saini, kisha unafanya retirement.
P
Unafaa
 
Buhohela sio Junior na sio private. Rais anaweza kumteua yoyote kuwa mkurugenzi popote ali mradi ana sifa na vigezo. Baada ya ile kazi nzuri ya kampeni 2015, timu yote waliajiriwa Ikulu, miaka 4 inatosha kabisa kumpika mtu kuwa Mkurugenzi. Mwenzake Haniu pia ni Mkurugenzi AMG.
P
Jaffary haniu
 
Pia Prof Kabudi, amejitambulisha kama mwandishi wa habari, na akawashukuru waalimu wake 4, waliomfundisha uandishi wa habari, ambao tuko nao hapa, hawa ni Wallece Maugo, James Mpinga, Richard Mngazija na Henri Muhanika.

Pia akataja waandishi wenzake kina Dr. Harison Mwakyembe, Dr. Mlimuka, wote walikuwa waandishi wakatimkia kwenye sheria.

P
Paskali wamemsahau Marehemu Dr Mvungi nae aliwai kuwa mwandishi wa Habari
 
Back
Top Bottom