Prof.Ndalichako uhakiki ufanyike kila baada ya semister aliyo disco

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Nimesoma huko nyuma moja ya list walizokuwa wakipoteza hela serikali n kulipia waliodisco

Nashauri pamoja NA hili zoezi lao mdahuu wawe wanapelekewa list yawaliodisco then wanafanya surprise checks kila Mara.....

Else tutaingia chaka kulipia waliodisco......
 
Back
Top Bottom