Wadanganyika tupunguze kulalamika na kulialia, tatizo letu kila mtu anajifanya anajua zaidi, tumekuwa wakwanza kujikosoa na tumekuwa wakwanza kuwasifia wenzetu eti wanaweza. Tumebaki kuwa wakwanza kutojikubali hadharani na piya Tumebaki kuwa wakwanza kujikubali MIOYONI.
Siku anateuliwa kuongoza Wizara ya elimu (wizara ambayo ndiyo 'backbone' ya ustawi wa Taifa), nilifurahi sana. Nikajisemea moyoni kwamba sasa gari limepata 'suka' na safari itakuwa salama.
Safari ikaanza suka akiwa imara. Lakini kadri safari ilivyoendelea, nikagundua kuwa kumbe suka wetu ni 'deiwaka' tu, na sio 'profesheno' !
Akaanza ubabaishaji. Siku akalala akaota GPA ya 3.5... na kweli kesho yake tu rukwili ikapitishwa GPA ya 3.5! Nikajisemea moyoni... ohooo sasa suka kaanza kuacha reli, ngoja ni-fasten my belt kabisa mapema.
Haijaisha week, akalala akaota GPA ya 3.0... na kweli kesho yake tu rukwili GPA ya 3.0 ikapitishwa! Nikasema "toba, suka kaanza kupiga ramli kwenye safari yetu?!!"
Yote tisa.... kumi kwenye mikopo ya chuo! Hapa sasa ndiyo nimeconclude kuwa kumbe Wizara ya Elimu bado haina suka, bali deiwaka tu!
75% kukosa mkopo hii ni ajabu ya mwaka!
Mtoto wa maskini kapanda ngorika kutoka sitimbi kijijini kaja mjini kusoma chuo, eti anapewa mkopo wa Tsh. 77,000 ajikimu chuoni! Seriously kabisa Officer mzima yupo Heslb kwenye kiti cha kuzunguka ana-approve Tsh 77,000 kwa ajili ya mkopo wa mwanafunzi wa chuo??!! Hizi ni dharau kwakweli. Otherwise naanza kuamini ule utafiti kwamba nchi hii wengi wana matatizo ya akili. Heslb wanastahili wachapwe bakora nyingi sana kama mvua!
Tanzania inahitaji overhaul ya hali ya juu sana. La sivyo, dharau hizi za viongozi zitazidi kuwafanya wananchi waishi kama mashetani kweli.
Mama Ndali, absolutely sasa kiatu kinakupwaya! Ubabaishaji kwenye elimu ya nchi, Taifa mnaliweka bondi.
Mhe. Rais Magufuli anahitaji kuona Tanzania ya viwanda. Ni jambo jema sana. Ili kuifikia Tanzania ya viwanda, basi tuacheni siasa na ubabaishaji kwenye sekta ya Elimu.
-Kaveli-
Kele za chura,chadema kila MTU mbaya,watu mnalalamika na Julia lia kila siku
Kama ndivyo, basi ajitumbue arudi kufundisha chuoni!Huyu Mama mnamuonea bure tu! Nitajieni Waziri mmoja tu ambaye mpaka sasa ana maamuzi ndani ya hii govt ya Tembo, hamwakumbuki kina Kigwa'la, Nchemba, nk jinsi walivyoanza kwa kasi? Umeshawasikia tena? Mwacheni mama wa watu, tembo ndio muamuzi wa kila kitu kwenye awamu hii, he's Alfa & Omega! Ukitaka kujitutumua kwake kitakachokupata muulize aliyekuwa katibu mkuu Wizara ya fedha (Likwilile).
Huyu mama hana tatizo. Kuna daktari wa falsafa anaitwa Shukuru....aisee yule jamaa alikuwa Bomu kuliko nyuklia. Huyu mama huenda anayumbishwa na anticipations za aliyemteua. Ili ku-meet objectives zake ndo unaona 'anabinjuka' na kuruka samasoti. But she is still on the right parh. Kuhusu mikopo tunakimbilia kumlaumu bure tu bila kufanya utafiti. Unajua kiasi cha fedha alizoomba na alizopewa? Na ukiwa na limited resources si maana yake Uzi utilize optimumly? This is what she has been doing.Siku anateuliwa kuongoza Wizara ya elimu (wizara ambayo ndiyo 'backbone' ya ustawi wa Taifa), nilifurahi sana. Nikajisemea moyoni kwamba sasa gari limepata 'suka' na safari itakuwa salama.
Safari ikaanza suka akiwa imara. Lakini kadri safari ilivyoendelea, nikagundua kuwa kumbe suka wetu ni 'deiwaka' tu, na sio 'profesheno' !
Akaanza ubabaishaji. Siku akalala akaota GPA ya 3.5... na kweli kesho yake tu rukwili ikapitishwa GPA ya 3.5! Nikajisemea moyoni... ohooo sasa suka kaanza kuacha reli, ngoja ni-fasten my belt kabisa mapema.
Haijaisha week, akalala akaota GPA ya 3.0... na kweli kesho yake tu rukwili GPA ya 3.0 ikapitishwa! Nikasema "toba, suka kaanza kupiga ramli kwenye safari yetu?!!"
Yote tisa.... kumi kwenye mikopo ya chuo! Hapa sasa ndiyo nimeconclude kuwa kumbe Wizara ya Elimu bado haina suka, bali deiwaka tu!
75% kukosa mkopo hii ni ajabu ya mwaka!
Mtoto wa maskini kapanda ngorika kutoka sitimbi kijijini kaja mjini kusoma chuo, eti anapewa mkopo wa Tsh. 77,000 ajikimu chuoni! Seriously kabisa Officer mzima yupo Heslb kwenye kiti cha kuzunguka ana-approve Tsh 77,000 kwa ajili ya mkopo wa mwanafunzi wa chuo??!! Hizi ni dharau kwakweli. Otherwise naanza kuamini ule utafiti kwamba nchi hii wengi wana matatizo ya akili. Heslb wanastahili wachapwe bakora nyingi sana kama mvua!
Tanzania inahitaji overhaul ya hali ya juu sana. La sivyo, dharau hizi za viongozi zitazidi kuwafanya wananchi waishi kama mashetani kweli.
Mama Ndali, absolutely sasa kiatu kinakupwaya! Ubabaishaji kwenye elimu ya nchi, Taifa mnaliweka bondi.
Mhe. Rais Magufuli anahitaji kuona Tanzania ya viwanda. Ni jambo jema sana. Ili kuifikia Tanzania ya viwanda, basi tuacheni siasa na ubabaishaji kwenye sekta ya Elimu.
-Kaveli-
Sijaelewamambo
yanayofanyika siku hizi mpaka unaogopaaa,ule msemo wa waswahili kua unaweza kufanya dhambi mpaka shetani akaanza kukuogopa nimeanza kuona enzi hizi...Daaaaahhhh so sad 77000?mi nilifikiri wazee wa kucheza na mtandaoni,kumbe kweliiiiiii
halafu sasa cha ajabu kuna majitu yalikuwa yanampigia makofiHapana Mkuu
Huyu kaisha shindwa
Kama hotuba yake ya leo madudu kabisa
Rais anajiaifu kunyima watoto wetu mikopo sababu tu wamesema private schools?
Why hasemi tu ukweli kama HAZINA ni nyeupe?
Simtetei Ndalichako, na ninaunga hoja ya mleta Uzi, Kuna mheshimiw aliwahi kusimama kwenye jengo tukufu la serikali(BUNGE) akasema wabunge wa CCM wanafikili kwa kutumia Mata... Hahaha hiyo kitu nikiifikilia halafu nikawazia huu mfumo sijui Means Test inayopelekea mtu apewe mkopo wa 77,000/= wakati gharama za ku apply to huo mkopo ametumia karibu 90,000/= nasikitika sana.Wabongo hatuna akili ndo maana yesu, mtume. Manabii wote ni wazungu amna ata mbongo
Hizo data mnazipata wapi?mnapewa taarifa za kutengeneza bavicha.wenzenu bavicha walikua wanataka kuchochea mgomo ndio maana wakatunga taarifa fekiMkuu, ifike mahala tuwe watu wenye reasoning. Mungu kakupa hicho kichwa kikusaidie kufikiri na kung'amua mambo.
Kweli kabisa wewe unaona ni sawa mwanafunzi kupewa mkopo wa Tsh 77,000 ajikimu chuoni?
Unaona ni sawa wanafunzi 25% tu ndiyo wapate huo mkopo?
Kwenye masuala ya msingi yanayogusa umma moja kwa moja, tuwekeni siasa pembeni.
-Kaveli-
Siku utakapojitambua wewe binafsi na wajibu wako twaweza discuss jambo ukaelewa. Ondoa culture zetu tulizojijengea wenyewe tukafikiria ni haki yetu, hii ndio chanzo cha matatizo yanayoendelea kila corner.
Suala la GPA 3.5 ndio kiwango cha chini kabisa cha mtu anayetakiwa kuendelea na academic path, otherwise you have to look on other alternative. hii kufanya siasa imeingiza watu wengi kwenye boat likalemewa na matokeo yake ni kuwapotezea muda na hawatawamudu, sio lazima kila mtui apite hapo ndo maana kuna mtihani, ili wengine wangie sehemu nyngine na sio kupotezeana muda. Kubadili tu 3.0 yawezekana baada ya kuona elimu ilishakuwa na shida, ila alichofikiria awali ni sahihi
Suala la kusomeshewa wanetu limetufanya tukabetweka tukajisahau na kuacha kuchukua wajibu wetu. Naamini serkali ingefuta loan kabisa tungejipanga tukawasomesha watoto wenyewe na ingepunguza uzazi maana tungejua itakakuiwa ni mzigo kwetu. Ngumu kuelewa naongea nini maana ni culture ilyojengeka tayari kufikiria hata kutaarisha future za watoto wetu ni serkali. wazazi wangapi wanasomesha watoto shule za gharama Zaidi ya gharama za vyuoni. Serkali ili overlook hili na sasa imejkuta imeruhusu idadii kubwa ambayo kamwe haitaweza kuimudu. Kukosa uzalendo ndo kumesababisha hata wale wenye huitaji kweli kuchindwa kupewa stahiki yao.
Narudia sio wote kweli wahitaji, tuweke uzalendo mbele kwanza.
2020 huyu hawezi shindahalafu sasa cha ajabu kuna majitu yalikuwa yanampigia makofi
Nilimshangaa sana kwa kauli ile ya kunyima mkopo waliosoma private, kwa kuwa inawezekana mtu alikupa ufadhiri tu wa kukusomesha advance ili akuvushe uende chuo kizuri
Pia wazazi wengi wanauza vitu vyao vya gharama kama vile viwanja ,nyumba ili mradi watoto wasome na mpaka mtoto anafikia ngazi ya chuo mzazi anakuwa kashauza vitu vingi kiasi kwamba hana kingine cha ziada cha kuuza ili apate pesa ya ada ya mtoto
Sasa mzazi kama huyu kitendo cha kumnyima mtoto wake pesa ya mkopo mnazidi kumtia msongo wa mawazo na kupelekea kufa kwa mawazo
Pia hata kama mzazi kweli alikuwa na pesa miaka ya nyuma ,sasa je kama uchumi umetetereka je hapaswi kusaidiwa??
Hivi unafikiri kila mtu ni mboga saba km ww?Siku utakapojitambua wewe binafsi na wajibu wako twaweza discuss jambo ukaelewa. Ondoa culture zetu tulizojijengea wenyewe tukafikiria ni haki yetu, hii ndio chanzo cha matatizo yanayoendelea kila corner.
Suala la GPA 3.5 ndio kiwango cha chini kabisa cha mtu anayetakiwa kuendelea na academic path, otherwise you have to look on other alternative. hii kufanya siasa imeingiza watu wengi kwenye boat likalemewa na matokeo yake ni kuwapotezea muda na hawatawamudu, sio lazima kila mtui apite hapo ndo maana kuna mtihani, ili wengine wangie sehemu nyngine na sio kupotezeana muda. Kubadili tu 3.0 yawezekana baada ya kuona elimu ilishakuwa na shida, ila alichofikiria awali ni sahihi
Suala la kusomeshewa wanetu limetufanya tukabetweka tukajisahau na kuacha kuchukua wajibu wetu. Naamini serkali ingefuta loan kabisa tungejipanga tukawasomesha watoto wenyewe na ingepunguza uzazi maana tungejua itakakuiwa ni mzigo kwetu. Ngumu kuelewa naongea nini maana ni culture ilyojengeka tayari kufikiria hata kutaarisha future za watoto wetu ni serkali. wazazi wangapi wanasomesha watoto shule za gharama Zaidi ya gharama za vyuoni. Serkali ili overlook hili na sasa imejkuta imeruhusu idadii kubwa ambayo kamwe haitaweza kuimudu. Kukosa uzalendo ndo kumesababisha hata wale wenye huitaji kweli kuchindwa kupewa stahiki yao.
Narudia sio wote kweli wahitaji, tuweke uzalendo mbele kwanza.
unaposhidwa kujua jambo gani lianze na lipi lifuate ndipo yanapijiri mambo haya
Ukiwekwa hapo hutaweza huyo amejitahidi sana.Huyu Waziri kama Rais wake tu
Porojo mno hamna lolote so far kalifanya
Walidhani kuwa viongozi ni kila mmoja anaweza
Uongozi ni karama sio porojo kama zao
Aliyekupa wewe na familia yako ni Mungu, usitutoe thamani sisi watoto wa wakulima na wavuvi. Mshukuru Mungu wewe ni mboga saba.Siku utakapojitambua wewe binafsi na wajibu wako twaweza discuss jambo ukaelewa. Ondoa culture zetu tulizojijengea wenyewe tukafikiria ni haki yetu, hii ndio chanzo cha matatizo yanayoendelea kila corner.