Prof. Ndalichako, kiatu kishampwaya!

Hii ya kukopeshwa tsh 350/- kwa siku sijaelewa
Hata chapati na chai haitoshi

Heslb wameonesha dharau kubwa sana kwa watanzania.

Eti mkopo wa 350 kwa siku! ama kweli nchi hii matahira ni wengi sana!

Hizi hadithi za kubana matumizi, pesa zinaenda wapi? mbona hatuoni improvement ya huduma kwa wananchi?

-Kaveli-
 
Huyu mama pale yupo kama remote control
 
Kele za chura,chadema kila MTU mbaya,watu mnalalamika na Julia lia kila siku
 
Nikikumbuka pasi ndefu, kushindia mihogo ya kukaanga ya kule ng'ox, kufukuzwa rum kisa sijalipa pesa ya accomodation na wkt bumu limechelewa, maji ya ku-download... etc nakosa cha kuandika yani acha tu mazee maisha ya chuo ni mateso
 
masomo ya sayansi lazima kwa wanafunzi wote form 1 hadi form 4
 
Nikikumbuka pasi ndefu, kushindia mihogo ya kukaanga ya kule ng'ox, kufukuzwa rum kisa sijalipa pesa ya accomodation na wkt bumu limechelewa, maji ya ku-download... etc nakosa cha kuandika yani acha tu mazee maisha ya chuo ni mateso

Dooh, maisha ya chuo na boom la kubahatisha lazima upigike kinowma Mkuu.

-Kaveli-
 
mambo
yanayofanyika siku hizi mpaka unaogopaaa,ule msemo wa waswahili kua unaweza kufanya dhambi mpaka shetani akaanza kukuogopa nimeanza kuona enzi hizi...Daaaaahhhh so sad 77000?mi nilifikiri wazee wa kucheza na mtandaoni,kumbe kweliiiiiii
 
Maneno ya mkosaji!
 
Nachelea kusema,haya matatizo yoooooote katika TANZANIA YETU, yanaletwa na VISASI.
Hatuna mchawi yeyote hapa,wachawi ni sisi wenyewe na tabia zetu hizi.Sababu visasi huleta
1.Hofu
2.Kukosa umakini
3.Ubishi.
Hivi vitatu,huleta kuchelewa kwa maendeleo kama sio kukwama,chuki na matabaka baina yetu.
WACHAWI TUNAO HUMU HUMU
 
Wabongo hatuna akili ndo maana yesu, mtume. Manabii wote ni wazungu amna ata mbongo
Zaidi ya ugunduzi wa moto ambao sina hakika ,hatukuwahi kugundua chochote toka dunia imeumbwa,huwa naumia kusikia babu zetu walibadilisha almasi kwa gorori za mzungu
 
Zaidi ya ugunduzi wa moto ambao sina hakika ,hatukuwahi kugundua chochote toka dunia imeumbwa,huwa naumia kusikia babu zetu walibadilisha almasi kwa gorori za mzungu
hilo la kubadili almas kwa golori wala siwalaumu,hawakuwa na pa kuzipeleka wala matumizi mbadala
 
Hilo kweli ni waoga sana
 
mambo

yanayofanyika siku hizi mpaka unaogopaaa,ule msemo wa waswahili kua unaweza kufanya dhambi mpaka shetani akaanza kukuogopa nimeanza kuona enzi hizi...Daaaaahhhh so sad 77000?mi nilifikiri wazee wa kucheza na mtandaoni,kumbe kweliiiiiii

Niaje Mkuu, hamjambo huko NIT?

Mkuu kipindi hiki kuna dhambi zinafanyika mpaka shetani mwenyewe anasubiri.

Naona sasa jahazi linakwenda mrama.

Ila kinachosikitisha zaidi ni kwamba hawa decision makers wenyewe waliweza kusoma kwa kutumia hiyo hiyo mikopo na kufika hapo walipo. Leo hii wanaamua kuwa ni 25% tu ndiyo wapate mkopo, mkopo wenyewe ni Tsh 77,000!!

Mimi mara nyingi sana huwa najiuliza swali hili: Hivi hapa duniani, kuna nchi nyingine yenye maajabu kama Tanzania?

-Kaveli-
 
Baada ya suka kuamka akatangaza '' wanafunzi wote wasome science''

Wanaosoma kipind cha awamu hii wana kazi ya ziada inabid wawe wapole tu sbb wanavyopenda sifa utatishiwa mpaka bastola ukisema ukweli.

VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI
Kiongozi amtishia traffic bastola
Mwalimu apigwishwa deki mbele za wanafunzi
Uhakiki bado unaendelea siku, zaongezwa ili kukamilisha zoezi.
Wanafunzi wa elimu ya juu walia na mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…