Prof. Mwandosya: Richmond na Escrow wakatwe urais CCM | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Mwandosya: Richmond na Escrow wakatwe urais CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by OKW BOBAN SUNZU, Jun 22, 2015.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2015
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,642
  Likes Received: 19,857
  Trophy Points: 280
  Mtia nia wa urais CCM Prof.Mark Mwandosya amesisitiza kuwa watia nia wote wa urais wanaosakamwa na masakata hatari ya Richmond na Escrow ni lazima wakatwe kugombea urais.

  Kumbukumbu zinaonesha kuwa kati ya wagombea Mh. Lowassa amewahi kukumbwa na sakata la Richmond hadi kupelekea kujiuzuru u-PM.Vilevile Prof. Muhongo alilazimika kujiuzuru kwa kashfa ya ESCROW.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #41
  Jun 22, 2015
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,544
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Wanyakyusa ninwatu wenye chuki na fitina sana ....
   
 3. c

  cencer09 JF-Expert Member

  #42
  Jun 22, 2015
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,448
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  umekuwa Mwakyembe? akibisha tutasema yote,kama unajiamini ni kweli na unaguswa na uzalendo funguka! unanikumbusha utoto sema suuu!
   
 4. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #43
  Jun 22, 2015
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 20,663
  Likes Received: 9,556
  Trophy Points: 280
  namuunga hoja mkono
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #44
  Jun 22, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,643
  Likes Received: 3,506
  Trophy Points: 280
  Kati ya watu ambao huwa hawaniingii ni huyu Mzee na sijuhi kwanini ..alafu CCM mbona mnatuletea wazee sana jamani?
   
 6. g

  geraldkowero1 JF-Expert Member

  #45
  Jun 22, 2015
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 1,839
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Ninachowashangaa hawa wazee waliosomeshwa bure ni kuwa hadi leo wanaamini wao ndo wajuzi wa kila kitu kumbe ni kinyume chake.Umri mkubwa,misongo mingi ya mawazo inarudisha nyuma uwezo wa kujifunza mambo mapya kwani ubongo umechoka. Mwandosya anafikiri hizi bado ni enzi za typewritter.Vijana wanamiliki vyombo/mitandao ya kisasa inayoweza kuwapa taarifa za yeyote na chochote hata kwa miaka mingi tu ya nyuma. Hivyo prof. asijidanganye kuwa yote aliyoyafanya katika utumishi wake hayafahamiki au kupatikana.Yeye anaelewa sana kuwa taifa baada ya kuvunja mkataba na richmond halikulipa hata senti moja ya serikali.Lipo wazi kwa baraza la mawaziri na raia wengi tu. Sasa Lowassa angefaidikaje na richmond kama hawakulipwa na serikali? Kilichomhukumu Lowassa hata kujiuzulu ni ile nia ovu ya kuwezesha mkataba na richmond ambao hawakuwa na mtaji,ofisi wala utaalamu. Sasa anapokurupuka kuwa mafisadi wa epa na escrow waliotia nia wakatwe na raia tukimuuliza kukaa kwake serikalini ni ufisadi hu huo tu aliuona na hakuna nyingine?Hivi hata wa majuzi wa bandari hauhusishi hela nyingi kuliko richmond na escrow? Jee aliouacha bungeni na kuwahi fomu ulioletwa bungeni na mkaguzi mkuu wa serikali hauhusishi hela nyingi za wizi kuliko za epa na escrow? Sasa yeye ni nani zaidi ya kuwa mgombea kama wengine? Kazi za tume za uteuzi zimekasimishwa kwake?.Halafu sasa anasikika akisema kuwa Lowassa asisite kumuunga mkono akiona mambo yanamwea magumu. Kathibitishiwa na nani kuwa yeye ndio chaguo la kamati zote za uchujaji ndani ya chama? Wote wanaowapiga watia nia wenzao vijembe kwenye chama chao wajue wanakivua nguo chama na hizo kamati zikiwa na viongozi weledi waanze na hao kwa kukiaibisha chama. Busara za uzee ziko wapi hapo?
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #46
  Jun 22, 2015
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,979
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  ujambazi wa lowasa upo kwenye damu. Alivyo na dharau wale wezi wote ndo anaambatana nao!!!!
   
 8. L

  Lubhalisi Senior Member

  #47
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 118
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sasa ni wapi ambao ndiyo wazuri hawana fitna na chuki sababu ya kabila lao? Lol sikudhani kama humu kuna watu wenye akili viazi kiasi hiki! Mtu mbaguzi na mwenye kudharau makabila mengine ni mgonjwa wa akili.
   
 9. L

  Lubhalisi Senior Member

  #48
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 118
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45

  Ila Lowassa ndiyo anakuingia na group lake la akina chenge!
   
 10. L

  Lubhalisi Senior Member

  #49
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 118
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Melezo mengiiiii kumbe unamtetea Mwizi Lowassa na Genge lake la akina nyoka wa makengeza!
   
 11. g

  geraldkowero1 JF-Expert Member

  #50
  Jun 23, 2015
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 1,839
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Watu wa aina yako tunao wengi nchini na hatuwezi kuwaacha kwani nanyi ni raia wa nchi hii tatizo hukujua uingie jukwaa lipi huku jf.Yapo majukwaa mengi ambayo una uwezo nayo.Siku nyingine usini quote kama huna maelezo yanayojitosheleza au yanayoweza kumwongoza na kumwelimisha msomaji.Yeyote kuitwa mwizi ni lazima ithibitishwe na mahakama ya nchi tena yenye mamlaka. Tuambie ni mahakama ipi iliyothibitisha wizi wa Lowassa na alipewa adhabu ipi. Nchi hii imekumbwa na ufisadi karibu kila wizara tena wenye kuhusisha kiasi kikubwa cha hela za wananchi kuliko richmond na epa nikauliza mbona zinatajwa hizo tu wakati zipo nyingi sana? Sasa ni wapi ninapomtetea Lowassa. Kwa hiyo na wewe unamtetea Mwandosya?Kuwa na mgombea na ukamshabikia ni utashi wako hivyo hujavunja sheria uwe na amani.
   
 12. L

  Lubhalisi Senior Member

  #51
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 118
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Lowassa ni mwizi tu Bunge lilithibitisha akatoka na uwaziri mkuu!kama siyo mbona ameshindwa kukanusha kama alivyo waahidi watanzania Siku ya kutangaza nia? mpaka sasa hajatumbia kwanini hakusema! Hata kama utaona mimi sifai kwakuwa sikubaliani na maelezo yako meeeengi ni sawa tu,hayo ndiyo madhara ya kushabikia vitu bila kufikiri na matokeo yake umekuja na maelezo meeeeeeengi kuelezea jambo ambalo hata halielezeki!
   
 13. g

  geraldkowero1 JF-Expert Member

  #52
  Jun 23, 2015
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 1,839
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Bunge na mahakama ni mihimili miwili tofauti. Kwanza uzielewe kazi na wajibu wa bunge na pia kazi za mhimili wa mahakama. Sikuweka maelezo mengi kwa ajili yako na wala sitarajii kuendelea kukuona jukwaa hili tena kwa uwezo huo.Nimeyaweka yote haya kwa faida ya wana great thinkers wa jukwaa hili. Mods nawaombeni hii iwe quote ya mwisho kwa huyu mwenzetu kwangu.
   
 14. L

  Lubhalisi Senior Member

  #53
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 118
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sawa hata kama unajidanganya kuona nina uwezo mdogo kuliko wewe but kwa swala la mwizi sihitaji uwezo mkubwa,Therefore Lowassa ni mwizi tu.Wala sioni uwezo wako hapa! zaidi ya kudhani huenda ni mtu ama mjinga au mpumbavu ambae ameamua kutete ujinga kisa ni ushabiki tu.Wala sihitaji unijubu maana siwezi poteza muda wangu kujadili na wewe unaeshabikia wizi kwa visingizio vya kujifanya unajua sana kueleza maelezo meeeeengi lakini kumbe upumbavu tu
   
 15. g

  geraldkowero1 JF-Expert Member

  #54
  Jun 23, 2015
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 1,839
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Jamaa yangu una roho ngumu na ukinganganizi wa hali ya juu hata kama haukusaidii. Ningekushauri uwahi Lumumba usijekosa buku saba zako. Hofu yangu ni kuwa unaweza usilipwe kwani post yako haitakuwa na impact. Wenzio hulipwa kwa kukandia upinzani wewe unakwenda kugusa jiwe la pembe? Au bado mgeni Lumumba?
   
 16. Stamina

  Stamina JF-Expert Member

  #55
  Jun 23, 2015
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45

  Mwandosya hajielewi, huyu mzee ni team Membe! yeye kama yeye hana chake uzee umeshamwingia na gonjwa juu! sasa anajaribu kujifanya mzalendo kumbe hana lolote! ameshaona maslahi yake yako kwa Membe!
   
 17. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #56
  Jun 23, 2015
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wagombea wa CCM wote wakatwe basi.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #57
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,542
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Wakati wa kutafunana wao kwa wao
   
 19. Gideon Anyona

  Gideon Anyona Verified User

  #58
  Jun 23, 2015
  Joined: Jun 28, 2014
  Messages: 106
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45

  Na yeye pia na kashfa kubwa sana za rushwa na utendaji mmbaya kipindi akiwa waziri wa uchukuzi kwa kuchangia kiasi kikubwa kuiua Tazara shirika la Reli. Nae atoke basi.
   
 20. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #59
  Jun 23, 2015
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,593
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Tukubaliane mambo ya msingi.Madhambi serikalini ni mengi na yalikuwepo tangu wakati wa Rais wa kwanza.Nashangaa watu wanasema Escrow,richmond lakini kashfa ni nyingi buzwagi,Nyumba za Oysterbay na kwingineko,Meremeta ,IPTL,Songas,Aggreko,Kufa mashirika 90% ya umma yaliyokuwepo ,Kashfa ya ununuzi wa meli TACOSHILI,Ununuzi wa ndege mbovy za ATCL 1980 , ukodishwaji wa uwanja wa KIA ,nk. Sasa inaonekana hapa anashambuliwa mtu mmoja tu thats not fair.Kama tuna nia ya kweli tuchambue yote yaliyowahi kuturudisha nyuma halafu kama kuna kiongozi safi hata mmoja toka chama tawala
   
 21. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #60
  Jun 23, 2015
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,118
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Mh Prof. Bila hizo sakata za hao wahusika, fedha za campaign zitatoka wapi?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...