Lakini kumbu kumbu zake za wanaohusika na scandals za Richmond na Escrow ziko intact.
We bawacha nyamaza bana usituharibie siku ccm ndiyo chama ambacho tunaona kinamsaada kwa watanzania siyo hiyo michagadema yenu.Sisi watanzania tunakata CCMyote ikatwe kwa mana wao ndio wahusika wa masakata yoote yaliyowahi kutokea Tanzania
Mkuu hizo scandals zilikuwa za kupikwa na kundi ka mtandao, Lowassa alikwemo.Mkuu masopakyindi nina uhakika katika ulingo huu wa siasa haujaanza kufuatilia leo.Mwandyosa hapaswi hata kumnyooshea kidole kada yeyote yule kwa kumuita fisadi.Yeye ndie miongoni mwa waanzilishi wa ufisadi serikalini.Sakata la Alliance Air gazeti la RAI (miaka ya 90 -2000) lilianika kila kitu juu ya Mwandyosa na hakuwahi kukanusha.
na hizo kumbukumbu za ufisadi mnazoweka huko juu vipi?au ndo msaada wenyeweWe bawacha nyamaza bana usituharibie siku ccm ndiyo chama ambacho tunaona kinamsaada kwa watanzania siyo hiyo michagadema yenu.
Mtia nia wa urais CCM Prof.Mark Mwandosya amesisitiza kuwa watia nia wote wa urais wanaosakamwa na masakata hatari ya Richmond na Escrow ni lazima wakatwe kugombea urais.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa kati ya wagombea Mh. Lowassa amewahi kukumbwa na sakata la Richmond hadi kupelekea kujiuzuru u-PM.Vilevile Prof. Muhongo alilazimika kujiuzuru kwa kashfa ya ESCROW.
huyu mzee nilizani amepona.wsshindane kwa hoja nasio kutafuta sababu za kumshambulia lowasa.CCM yote ni mafisadi.wanapotumbua mamilioni huku watoto wanakaa chini hili mwandosya halioni.lowasa ndie kiongozi aliyedhubutu kuonyesha anaweza
Huyu mzee atakuwa ameshasahau tarehe yake ya kurudi kwenye matibabu India.
Rais Mh. Dr. Prof. Jakaya Mrisho Kikwete!nitajie CCM mmoja msafi
Yeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.
Ccm imeoza by Makongoro Nyerere.Yeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.
Mtia nia wa urais CCM Prof.Mark Mwandosya amesisitiza kuwa watia nia wote wa urais wanaosakamwa na masakata hatari ya Richmond na Escrow ni lazima wakatwe kugombea urais.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa kati ya wagombea Mh. Lowassa amewahi kukumbwa na sakata la Richmond hadi kupelekea kujiuzuru u-PM.Vilevile Prof. Muhongo alilazimika kujiuzuru kwa kashfa ya ESCROW.
huyuhuyu mwandosya alisema ccm walimtusi warioba ili wapitishe katiba ya ccm.la huyu hafai uraisi.warioba aliofanya kosa gani mpake mtia nia huyu amtusi ili katiba ipite hafai uraisi huyu.na huyu mebe kila kukicha anaenda kusali kwenye kaburu la nyerere huyu anaabudu mizimu atatuletea imani za mizimu hafai