OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
amekosea wapi kwenye kauli yake.hamtaki mafisadi wakatweHuyu mzee atakuwa ameshasahau tarehe yake ya kurudi kwenye matibabu India.
Kaka vipi kwani na wewe ni Fisadi?Huyu mzee atakuwa ameshasahau tarehe yake ya kurudi kwenye matibabu India.
Sisi watanzania tunakata CCMyote ikatwe kwa mana wao ndio wahusika wa masakata yoote yaliyowahi kutokea Tanzania
kwa style hii hata CCM-mimba atakuwa na kashfaYeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.
nitajie CCM mmoja msafiSio Richmond na Escrow tu,Hata mkataba mbovu wa shirika la ndege la Alliance Air unahusika pia.Mwandosya sio ni fisadi tu bali ni mwizi asifikiri watanzania wanakumbukumbu fupi kama maisha ya inzi.
nitajie CCM mmoja msafi
haah haah tunazungumzia maadili.Usafi wa nini meno au mavazi?
Lakini kumbu kumbu zake za wanaohusika na scandals za Richmond na Escrow ziko intact.Huyu mzee atakuwa ameshasahau tarehe yake ya kurudi kwenye matibabu India.
Sio Richmond na Escrow tu,Hata mkataba mbovu wa shirika la ndege la Alliance Air unahusika pia.Mwandosya sio ni fisadi tu bali ni mwizi asifikiri watanzania wanakumbukumbu fupi kama maisha ya inzi.
Hii nchi ngumu sana,mhe ENL alijiuzulu tangu 2008 na kwa kuwa yeye ndie anasingiziwa kuwa fisadi namba moja nilitegemea kutosikia wizi/ufisadi serikalini.Lakini sasa hivi utadhani walisubiri atoke wachote.
Unaongelelea vipi hii hapa chini kuhusu Mzee Mwandosya kama ilivyoletwa na Mkuu PharaohLakini kumbu kumbu zake za wanaohusika na scandals za Richmond na Escrow ziko intact.
Yeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.