Prof. Mwandosya: Kuuliza si Ujinga, kamati za Bunge kutowasilisha ripoti bungeni kwanza, Je kanuni zimebadilika?

Escrow ilichunguzwa na Zitto na Ripoti kutolewa bungeni lakini Serikali ya kina Mwandosya mmoja wa aliyekuwa cabinet minister haiku chukua hatua stahiki kama bunge lilivyopendekeza.

Bila ya kusahau John Pombe Magufuli, aliyekuwa cabinet minister pia jombaaa!
 
Ku - speed up mambo kwa kutenda kinyume na taratibu tulizojiwekea?

Dr Akili acha haya mambo bwana. Try to argue things as a real doctor....

Kwa hoja yako hii maana yake, ripoti hizi zinazoitwa "za kamati teule za bunge" , zitarudishwa tena bungeni, zijadiliwe na kisha bunge sasa litoe maazimio yake na kuyapeleka serikalini kwa utekelezaji.....

Si ndiyo maana yako, au siyo bwana?

Kama ndivyo, huu utaratibu utakuwa kwa kutumia kanuni zipi na bunge gani labda?

Inawezekana sijakuelewa, lakini naamini nimekuelewa unless you prove me wrong....
Ndivyo hivyo. Na kanuni za bunge si msahafu kama Bibilia au Korani. Wala kanuni za bunge hazijakiukwa kwani zitaendelea kama kawaida. Alichoomba rais ni kupata hizo ripoti za kamati, yeye akiwa ni part ya bunge kwa katiba yetu. Nia yake ni kuona kama una ushahidi wa nyongeza kumuwezesha kufanya maamuzi ya ile almasi iliyokuwa pale airport.
 
Back
Top Bottom