Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Wote hao ni viongozi wazuri, wanauzoevu, kwa mfano Mhe. L alipokuwa Waxiri alisisimamia kwa makini vizuri baadhi ya mipango mizuri ambayo iliachwa na awamu ya tatu, ikiwemo ujenzi wa shule za sekondari za kata, na mengine mengi, Pia na huyu Mh. mwingine naye kupumbuka ni mchapa kazi, kupunguka programme ya maji toka mwanza kuja shinyanga na mengineyo, hivyo ndugu zangu nawaombeni " Upendo, amani, umoja na Tanzania kwanza, tusijigawe"
 
mwaka 2005 alishika nafasi ya 3 katika waliogombea nafasi ya urais kupitia CCM yaani ndani ya ccm Kupitishwa kuwa mgombea urais, hakuwa na makundi au kundi au baada ya tukio lile kupita kundi lake halikuendelea. ameonesha hali ya upole kwa kias kikubwa. hana makuu, hana makundi, hana maneno n.k na hapa ndo najiuliza kwa nini asiwe yeye mgombea wa urais? hili ni swali chokozi kwa maana waje wadau wenye sababu za mmsingi za kumfanya au kutomfanya awe mgombea urais kwa ticket ya ccm.
 
Labda wa nyumbani kwenu au klabu ya mpira ya mtaani kwenu
 
Mkuu. Profesa Mark alifaa sana kuwa Rais kipindi kile cha 2005, kwa sababu hizo ulizosema, na ukweli ni kwamba siku ile ya fainali ndiye aliyetoa hotuba ambayo Watanzania tuliomwelewa HATUTAISAHAU! Aliuchambua vizuri sana Urais na majukumu yake lakini kwa kuwa Wajumbe wa mkutano wa uchaguzi walishagubikwa na upofu wa makundi hawakutaka kumwelewa na ndio tukaishia kupata mgombea dhaifu huyu.

Kwa sasa itapendeza tukipata mtu mwenye ueleewa kama wa huyo Prof Mwandosya,lakini yeye mwenyewe tumwache akjipumzikie. Kam wewe ni Mwana CCM au CDM au CUF au chama kingine tusaidiane kuwaibua watu wa aina hiyo!
 
Prof. Mark Mwandosya mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na wizara maalum amesema kuwa hatogombea tena ubunge bali urais. Ni mwendelezo wa wimbi la watangaza nia linaloshika kasi.

Chanzo : Mtanzania gazeti la leo.

Yeye ndio wa mwanzo kufanya ile ATCL kuanguka kwa ajili ya 10%, kwahiyo hatutaki aje kuiza tanzania yetu
 
Jamani ccm sasa mnatutia aibu mtu anajijua ni mgonjwa kama huyu Mwandosya na EL bdo wanautaka urais kwanini watz watu hawa tusiwachape viboko?
 
Yaa the truth shall prevail!! Mwandosya ndy mwanasiccm pekee alieandka kitabu mardhawa akiizungmzia rushwA ndani ya chama chake na miziz yake,hapendi rushwaa!! Hakuna mgombea ndani ya ccm anaizungumzia ufisad zaid ya huyo prof ,hata kweny Escro ndy pekee aliyecmama akisema pesa zilikua za umma!!wengne majambazi tu
 
Mojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?
 
Hivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunajua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna
 
hivi wanaotengeneza ishu ni kina nani kama si watu? punguzeni kujikweza
 
Back
Top Bottom