Prof Mukandala amefiwa

huyu mukabdala kampeleka mwanae kusoma Europe, na mapesa ya chuo! yaani garama ya chuo ni karibia miliion 2 kwa mwaka, jamani halafu toto lake haliko brain kivileeeeeeeee. RIP BIBI


Post hii inaonyesha kichwa chako nikitupu. Kama huna cha kuandika soma tu ya wenzako alafu chapa lapa.
 
ni ngo'mbe flani inajifanya kama chuo ni chake na ccm anau maku wa hali ya juu amelaaniwa f. Him is a dog . Oh god ungemchukua huyu ukatuachia bibi, anatutesa sana laana kum. Afe yeye sasa kufa kufa kufa mkandala kufa ni wakati wako kufa. Shetani we kufa huna msaada kwetu

aseeeeee......
Duh!!!?
 
Mukandara acha kazi uliyopewa na li-ccm ili nafsi ipate staha ya walimwengu!!!! naweza kutangulia, uki-fa utazikwa na kina nape peke yao kama watakuwepo.
 
bibi alikua mzee sana. Mwache alale bwana. Mukandala bado anahitajika sana kutumikia wananchi.

ni bora tubaki na bibi watano wazee kama huyo unaemdharau kisa uzee akafie mbali kuliko kuwa na kiwiliwili cha mukandala duniani..binafsi nikuweke wazi angekuwa somalia ama misri nahisi angemtangulia bibi alikoenda ingawa na dhambi zake wasingeweza kukutana na hako ka bibi chetu kanachoelekea kwa malaika

rip bibi
 
Prof Rwekaza Mukandala amempoteza mama yake mzazi. Msiba upo Chuo Kikuu na kesho saa mbili asubuhi kutakuwa na misa ya kumuombea marehemu katika kanisa la Chuo Kikuu.

Tuweke siasa pembeni tuungane nao kuwapa pole na faraja katika kipindi hiki kigumu.

Pole Prof Mukandala na familia yako.

RIP. mama
 
Lingekufa lenyewe kuliko huyo bibi wa watu maskin. RIP bibi ila ulituzalia mtu wa ajabu sana

Kuwachapa wenzenu bakora eti nao wagome kama ninyi ni sahihi?Kumwaga masufuria ya ubwabwa pale Cafeteria kuna uhusiano gani?
 
RIP bibi wetu.....maskini RAIS wetu yani huu mwaka sidhani km utaenda kula bata majuu na wakina NAOMI CAMBAL yani utaudhuria misiba wewe huu mwaka mpaka ukome kua rais
 
Kama nı karıbıa mılıonı 2 kwa mwaka kwa nje mbona nı kıdogo sana.

Mkuu Million 2 ni kidogo sana?? Acha tu tununue fungu la mchicha kwa elfu1. Upo uwezekano wa mkandala kurithi "genes" za roho mbaya kwa mamake. RIP bibi
 
Back
Top Bottom