ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Mhungo si ni mwanasiasa tu, anasema ili muone serikali inafanya kazi? Muulize huyo Mhungo ni kwa kiasi gani wameiwezesha TANESCO ili iweze kutekeleza hilo agizo? Maana nguzo tunauziwa, waya na wenyewe tunauziwa. Mara utaambiwa Luku zimeisha. Mtu unaambiwa nguzo lazima ununue halafu wakishakuwekea umeme wanakwambia nguzo si mali yako. Mimi nilinunua nguzo kwa about milioni moja na bado siku chache baadaye majirani wakawa wanaunganisha umeme bure tu kutoka kwenye nguzo yangu. Kuwauliza TANESCO wananambia hakuna mtu anayemiliki nguzo aaarghh! Hakuna serikali niliyowahi kuichukia kama ya Kikwete.
....kwanza atoe maelezo sahihi juu ishu ya Kiwila...vinginevyo bado hajatisha.
Ule mzigo mzito ataweza kuubeba kweli?
Hata mimi namkubali hilo jembeMuhongo ....ni jembe kweli kweli ameanza kazi yake vizuri sana.
acha uongo mkuu huyu ni mwana geolojia si mwana siasa kamwe kama una yako ulotumwa kayajadili na mkeo sio kusingizia watu makini kama professor muhongo . ndo maana hajawahi kuomba ubunge mahala popote na amesema kuwa asiposikilizwa anrudi kufundisha.Mhungo si ni mwanasiasa tu, anasema ili muone serikali inafanya kazi? Muulize huyo Mhungo ni kwa kiasi gani wameiwezesha TANESCO ili iweze kutekeleza hilo agizo? Maana nguzo tunauziwa, waya na wenyewe tunauziwa. Mara utaambiwa Luku zimeisha. Mtu unaambiwa nguzo lazima ununue halafu wakishakuwekea umeme wanakwambia nguzo si mali yako. Mimi nilinunua nguzo kwa about milioni moja na bado siku chache baadaye majirani wakawa wanaunganisha umeme bure tu kutoka kwenye nguzo yangu. Kuwauliza TANESCO wananambia hakuna mtu anayemiliki nguzo aaarghh! Hakuna serikali niliyowahi kuichukia kama ya Kikwete.
ni yaleyale tu hamna kitu.
....kwanza atoe maelezo sahihi juu ishu ya Kiwila...vinginevyo bado hajatisha.
nguzo wanazo?
....kwanza atoe maelezo sahihi juu ishu ya Kiwila...vinginevyo bado hajatisha.