Prof. Muhongo -> SYMBION -> Kikwete ->

Status
Not open for further replies.

Likitokea hilo litakuwa limethibitisha udhaifu aliouzungumzia JJ. Mnyika, hebu tusubiri!
 
Njia mojawapo inayotumiwa na CIA kujipenyeza katika nchi ni kupitia miundombinu. Hawa wenzetu wana ujanja kutuzidi.
Wakishashika nguzo za umeme watatafuta kingine tena lakini lengo lao ni kuiweka nchi kiganjani. Itafika mahali wanasiasa wetu wanajikuta hawawezi kufanya maamuzi independently. Ndio maana kuna mahali nimesema haya madhara aliyotuletea Kikwete yatatuandamana hata miaka 30 baada yake kutoka mamlakani. It is a shame.
 
Kikwete kila siku kiguu na njia Marekani, tena bahati mbaya yeye mwenyewe anawaomba waje kuwekeza. Watashindwaje kutuibia na kuingia mikataba ya kinyonyaji?
 
Na mirahaba ya migodi yangu itajadiliwa? Teh teh teh...nilikuwa naota tu kama na mimi ni fisadi papa au nyangumi au na hallucinations!
 
Tunasubiri hiyo muvi mpya. Coming soooooooooooooooon.......
 

istoshe ccm sio baba wala mama...bila ccm inawezekana
 
watajuta kumchagua Prof. Muhongo.,wakuu nisaidieni hivi kuna tofauti kati ya RICHMOND, DOWANS na SYIMBION. au mashine ni ile ile majina tofauti kama Ganja.
 
Mengi yalikuja na yamepita, yaliyopo yanafumbiwa macho, na hili nalo ni upepo tu, utapita. Kitu nina hakika hakitapita ni ufisadi ndani ya safu za CCM.

Let's not hope changes for the better while CCM is on power.
 
Tatizo la kuwa na viongozi wababaishaji ndo hilo. Mimi sitashangaa kama Prof atatolewa kwani wachapakazi hawawezi kukaa na wababaishaji. La sivyo inahitaji kuwa mwangalifu sana kwani yaliyotokea kwa baadhi ya wachapakazi tumeyashuhudia kwa macho yetu.

Katika hali kama hii ndo utakapojua kuwa bwana mkubwa (JK) anasimamia upande upi hasa. Tusubiri tuone
 
Prof wee komaa nao mpaka kieleweke watz zaidi ya 20mil wako nyuma yako na pia mola atakupigania its time to say NO to any none sense
Najua ukikomaa watanywea bse wanachofanya si haki mbele ya watz maskini na mungu
 
Symbion itatupa shida sana. It will cost us dearly na malipo yanaweza yakachukuwa muda mrefu-generations. Wakati wanakuja Dar watu walijadili sana hapa JF kuhusu potential problems na kuuliza -make up ya hii company. Haikuchukuwa muda tukamuona Bi Hillary Clinton mjini. Lakini ukiangalia wakubwa wanaoongoza Symbion utaona mzigo tuliojibebesha.

Na haitoshi tu kuangalia Symbion yenyewe, inabidi tuangalie other elements na kuunganisha dots. Kwa wadadisi wa mambo watagundua mahusiano ya karibu sana kati ya wafanyibishara wa kimarekani na ujasusi wao. Hyatt kwa sasa ni kama office ya hawa mabwana, kila kukicha tunaona ma-star wa basketball wanatembelea magogoni, tukienda mtaani tunaona volunteers wanamwagwa! Ukienda mbugani ndio basi tena. Ili mradi kama taifa hatumui bila kuona mmarekani.
 

It is true mbona wasifanye miradi ya mikubwa ya umwagiliaji?Processing industries tuka- package bidhaa zetu hapa? vyandarua vya nini?kikichanika watatoa kingine? Watu wawe na mshiko watanunua vyandarua wenyewe.
 
kama una taarifa sahihi zianike hapa ili wajue kuwa humu ni great thinker
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…