Tangu niliposikia Prof. huyu kateuliwa kushika wizara nyeti hiyo nilijua kazi ndiyo imeanza! namfahamu kama mtu mwenye msimamo na mchukia rushwa ila nilimwonea huruma kwa vile alikabiliwa na ugumu katika utekelezaji wa majukumu yake akiwa na timu iliyooza. Uozo wote ndani ya TANESCO na Wizara ya madini ukiwemo wa mikataba mibovu ya madini ni maslahi ya viongozi wa chama chake na serikali iliyopo madarakani. Tusubiri, tuone.Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Wizara sio ngumu ila kila fisadi kategeshea mirija wake pale na akija mtu anayesema paka ni paka bali paka si mbwa basi hao dinosaurs wanajitokeza na kutisha. Lakini kama tungekuwa na kiongozi imara-yule anayeandikwa na Jeneral Ulimwengu kila siku wala hayo ma dinosaurs yasingalikuwapo
Kucheza na hawa watu inahitaji akilini sana. Tutamkumbuka JK Nyerere milele kwani aliwajua na akawadhibiti hawa watu. Sasa kazi tunayo na ndo maana majuzi wamepiga mkwara wa vikwazo tu kwani wanatuelewa sana sasa hivi na wapo ndani. Kwa kweli siyo watu wazuri kabisa.
Symbion is owned by a former CIA operative. We know that once you work for CIA you will always be CIA.syimbioni wana kazi ya kusambaza umeme vijijini...halafu inawezekana serikali ya marekani imegunduwa usanii uliofanyika wakati yule mama mmarekani alipokuja kufunguwa syimbion power
Wengine hatujazoea kuandika kwa mtindo wa Kubenea, tunatoa tips tu. I've been on JF since 2008; naelewa hii slogan, shirikisha ubongo kidogo kamanda. MwanaHalisi hawapo, Raia Mwema au Mwananchi wataidaka hii, wasipoidaka kupitia kwangu basi kupitia source nyingine.Mkuu it seems that you have adequate information so why are you providing Incomplete assuming that everybody has a clue? Hapo kwenye hizo RED umeona nachomaanisha. This is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY! Be so mkuu.
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Ok nauliza...Nini kinaendelea kati ya ubalozi wa marekani na ikulu yetu?Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
.... Muhongo kwa kujiamini, akaanza kuhoji 'wabunge kuhongwa na Symbion...' guess what followed!Symbion is owned by a former CIA operative. We know that once you work for CIA you will always be CIA.
Sasa CIA wameshapata upenyo ndani ya Bongo kupitia urafiki wa Wilson na Kikwete. Mengine jazieni wenyewe.
Hakukosea sana Dr. Slaa aliposema kuwa Kikwete ni janga la taifa. Madhara yake kuwa mamlakani yatatuathiri kwa miaka mingine 30 ijayo.
.... Muhongo kwa kujiamini, akaanza kuhoji 'wabunge kuhongwa na Symbion...' guess what followed!
duhh!very very "Faiza Foxy"Album mpya ya chadema singo zake ni tunajuwa, tutasema, tutawaonesha, tutawataja.
Umeshawahi kusikia kisa cha "mie najuwa, wewe unajuwa na yeye anajuwa"?
Kwetu pwani huwa tunsema hayo ni maneno ya mafataani na kwa mafataani kwa ailimia kubwa huwa wanajulikana ni akina nani.
Kama kitu unakijuwa unaogopa wanaume wenzio?
Kwi kwi kwi teh teh teh!
validate your statement please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? Mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni incopmlete.
Tangu niliposikia Prof. huyu kateuliwa kushika wizara nyeti hiyo nilijua kazi ndiyo imeanza! namfahamu kama mtu mwenye msimamo na mchukia rushwa ila nilimwonea huruma kwa vile alikabiliwa na ugumu katika utekelezaji wa majukumu yake akiwa na timu iliyooza. Uozo wote ndani ya TANESCO na Wizara ya madini ukiwemo wa mikataba mibovu ya madini ni maslahi ya viongozi wa chama chake na serikali iliyopo madarakani. Tusubiri, tuone.