- Thread starter
- #81
Mwacheni aje aone mwenyewe..........
Na sisi tuone umeme unavyosambazwa kwa kasi vijijini.
Mwacheni aje aone mwenyewe..........
Maajabu gani mkuu?Kweli hii nchi haiishi maajabu..!!
Zile pesa alizokwapua ndio zinamuwasha!! Hivi anadhani atashinda au??
Umevuruuuuuuuuugwa pole, karibu chai, huku ukiendelea kuangalia profile bebe
UNANITAKA's IQ equivalent of a millipede + a centipede + wasps. Bs
Mario Jorge Zagallo 193,mwanasoka wa kwanza duniani kushinda kombe la dunia akiwa kama mchezaji na kama kocha,aliwahi kusema kuwa tatizo kubwa la kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,ni kwamba kila Mbrazil anajifanya kuwa kocha.
Ndivyo hali ilivyo Tanzania inaelekea kwa sasa kila Mtanzania anajiona ni rais.
Urais dili eh..sijaona mwaka kama huu kila mtu anataka agombee urais afu ndani ya chama kimoja!!! kweli kazi ipo.. ngoja waendelee kupiga makelele ila Rais wangu ni EL!!!:smile-big:
Muhongo anafaa sana kuwa rais isipokuwa anakosa vitu kadhaa,anadhan ni the smartest person tanzania,ana jeuri na atakandamiza uwekezaj wa wazawa,otherws namuunga mkono kama akijielezea vzur
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"
Kwenye Mafuta na gesi si zaidi ya Makumpuni kumi Duniani yanayowekeza! Kama nikuchukua vitalu na kuyauzia makumpuni hayo tunaweza. TPDC inatuwakilisha vyemaHuyu " Watanzania mitaji yao ni yakuweza kwenye viwanda vya juisi", hajitambui. Waliosema ana matatizo ya akili hawakukosea!
Mario Jorge Zagallo 1931,mwanasoka wa kwanza duniani kushinda kombe la dunia akiwa kama mchezaji na kama kocha,aliwahi kusema kuwa tatizo kubwa la kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,ni kwamba kila Mbrazil anajifanya kuwa kocha.
Ndivyo hali ilivyo Tanzania inaelekea kwa sasa kila Mtanzania anajiona ni rais.