Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.

Acha kutoka povu wewe au ni tishio kwa mgombea wako
 
OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kweli Tanzania imekuwa kichwa cha mwendawazimu! Hata Muongo anataka kugombea Urais?! kama ni hivi; Sitashangaa kusikia hata Livingstone Lusinde; Assumpta Mshama; Hawa Ghasia; Aden Rage na Maji Marefu nao wakijitosa ulingoni! Ama kweli Tanzania yangu umekuwa hivyo mpaka uongozwe na watu kama hawa?! God save my country!

Kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, simple usitoke povu sana mzee
 
Akituambia UKWELI juu ya sakata la ESCROW na nani alimshawishi wajichotee kwenye hiyo account,tutamfikiria kidogo.

Endelea.kuishi sayar ya mars sweetheart, dream dream 😘😘😘😘😘
 
Urais dili eh..sijaona mwaka kama huu kila mtu anataka agombee urais afu ndani ya chama kimoja!!! kweli kazi ipo.. ngoja waendelee kupiga makelele ila Rais wangu ni EL!!!:smile-big:

Umenena mkuu hao wengine ni majanga
 
Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.

Hao ndio viongozi wa chama tawala C C M.
 
Mwaka huu mpaka mamba watatangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM.

Tumebaki mii na wewe kutangaza nia...naona Urais umekuwa RAHISI sana.....inaonekana kila mtu anaweza kuwa Rais....ukiona hivyo ujue something somewhere is very very wrong!!!! Tunakoelekea Urais tutaanza kupeana tukiwa BAR...zamu kwa zamu!!!!
 
Tukiacha ushabiki wa vyama na wa watu, tukaangalia Umakini wa ujendaji... Muhongo yuko juu sana .... Na akipewa hii nchi ninaamini kwa miaka 10 tutaona mabadiliko ya ajabu...
 
Tukiacha ushabiki wa vyama na wa watu, tukaangalia Umakini wa ujendaji... Muhongo yuko juu sana .... Na akipewa hii nchi ninaamini kwa miaka 10 tutaona mabadiliko ya ajabu...

Hizi njaa na elimu ya kijinga mnayopata mtajikuta mmeuza nchi bila kujitambua!! Mtu anaye amini Watanzania hatuna uwezo wa kushiriki ktk uchumi wa gesi na petroli unataka awe Rais ili kuisadia Tanzania kitu gani?? Mjinga wewe!
 
Nataka utaratibu kwa hawa vijana nijue ni vip na mimi naweza kutoa ka mchango ata kadogo ili niwe sehemu ya waliomchangia Prof Muhongo. Kama kuna kijana yoyote basi plz ani pm
 
Karia orodha ya watu waliotangaza nia YA kuomba uraisi, bado sijaona kiongozi anayeweza kuiongoza Tanzania. We need serious and aggressive leader kuiongoza inji hii.
 
Back
Top Bottom