Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

Mwacheni aje aone mwenyewe..........

Mpeni moyo, pengine atachaguliwa na maprofesa wenzake.

Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.

Kweli hii nchi haiishi maajabu..!!

tushagundua ni usanii mtupu...
amini usiamini, muhongo akigombea anapita. pamoja na kwamba alijiuzuru lakini kwa kipindi chake ameonyesha uwezo mzuri sana kushughulikia mambo. anaweza kuwa aliboronga issue ya escrow, hela ambazo zilikuwa za mtu binafsi hata mimi ningechukua, si za rugemarila? tena ruge alilipa na kodi? zingekuwa za tanesco hapo mngesema. tofautisha waliochukua hela za ruge na mwanasheria mkuu aliyesababisha kodi isilipwe tukala hasara ya 27 bl. hao wengine walichukua hela za mtu binafsi tena aliyelipa kodi. hawajachukua hela za singasinga hao, ni za ruge, hata mimi ruge angetaka kunipa ningechukua. jueni kuwa kufukuzwa kwao wamefukuzwa si kwasababu wameiba la, ndio maana hawajapelekwa mahakamani, na mahakamani hawapelekeki. walifukuzwa kwa kukiuka maadili ya umma yanayowataka ukipata hela nyingi uzitangaze/declare na wao hawakudeclare. na tatizo kama hilo adhabu yake huwa sio criminal, ni uwajibishwaji wa aina ile tu.

lakini asilimia ya watz wengi walimsapoti sana mhongo wakimtofautisha na ngereja ambaye kila siku tulikuwa na mgao, mhongo alikuja hatukuwa na mgao kwa muda mrefu sana na umeme umepanuliwa sana. sema tatizo alilofanya ni hilo kupokea hela kwa ruge na hakudeclare. hata rais wako alisema zile hela hazikuwa za umma, na ni kweli hazikuwa za umma.

ukiona ccm wamekosea leo hii wakamweka mhongo, amini usiamini hata ukawa wafanye nini atapita, na akipita ataifikisha hii nchi pazuri tu. hakuna asiyejua uwezo wa mhongo kwa tz hii. watu wana macho hata akiwa mchafu lakini ana mazuri yake.
 
Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
Mpime kwa kazi yake, ubufunifu wake, weledi wake hapo ndo utajua maana halisi ya unachodai!! Prof Muhongo ni mtu makini sana, Mzalendo na mpenda mabadiliko ya Tanzania ya leo na ya kesho.
 
Hizi njaa na elimu ya kijinga mnayopata mtajikuta mmeuza nchi bila kujitambua!! Mtu anaye amini Watanzania hatuna uwezo wa kushiriki ktk uchumi wa gesi na petroli unataka awe Rais ili kuisadia Tanzania kitu gani?? Mjinga wewe!

Anayejibu kwa hoja na anayekimbilia kutusi wenzake nani Mjinga! Ukiona mtu anakimbilia matusi inabidi kufikiria mambo Mengi. Hivi huyu mtu ufahamu wake ukoje? Uwezo wake wa kuchambua mambo uko vipi? Ana upeo gani wa kuheshimu mawazo yanayokizana na ya kwake? Elimu yake je? Mojawapo ya dalili za mtu asiyekuwa na uwezo wa kujenga hoja ni wepesi wa kutumia matusi kama njia ya mkato kunyamazisha wengine. JITATHMINI.
 
Suala la Escrow mpaka sasa bado haujilielewa mkuu!!! Kwani aliyekuwa anazitunza ni nani??? Na umeme ulifuliwa na nani? Na sasa nani anaendelea kuzalisha?? Ukifikiria zaidi utaona Muhongo alikuwa mchapakazi sana.

Ninaelewa kuliko unavyodhani.Ndiyo maana nimesema atuambie UKWELI kwanza mengine yanfuata.Sababu UKWELI DAIMA UNAKUACHA HURU.Kumbuka YAwezekana mkaddhani watanzania wote ni MALIMBUKENI,basi kama mnadhani hivyo mjue mmekosea sana.

Tunasoma between the lines............................
 
Endelea.kuishi sayar ya mars sweetheart, dream dream 

Yawezekana ukadhani mimi ninaishi sayari ya MARS lakini mwenzangu ukawa umelela usingizi MZITO sana kiasi kwamba hata mifuko yako akija mtu anachomoa TARATIBU na kusepa na wewe bado upo kwa shuka.USINGIZI MWEMA.

Wenzako tualiamka kabla yako.............................:lalala::lalala::lalala:
 
Ninaelewa kuliko unavyodhani.Ndiyo maana nimesema atuambie UKWELI kwanza mengine yanfuata.Sababu UKWELI DAIMA UNAKUACHA HURU.Kumbuka YAwezekana mkaddhani watanzania wote ni MALIMBUKENI,basi kama mnadhani hivyo mjue mmekosea sana.

Tunasoma between the lines............................

Alishasema kwenye hotuba yake Bungeni, na Raisi akarudia kusema kilekile!!! Ukweli gani ambao unautaka sasa??
 
Nataka kukusahihisha, Prof. Muhongo hakupokea hela yoyote toka kwa yeyote, iwe ni Singasinga au Rugemarila. Prof. Muhongo alilazimika kujiuzulu kutokana na chuki binafsi za watu watatu: Reginald Mengi kwa vile tu Muhongo alimwambia hana uwezo wa kuwekeza katika gas, ambao ni ukweli mtupu kwa 100%; Zito Kabwe, kwa kuelezwa na Muhongo kuwa Elimu yake haimwezeshi kujua mambo ya gas na madini kitaalamu, ambapo pia ni ukweli mtupu. Zito ni mtupu sana kwenye masuala ya madini, ni mropokaji wa mambo ambayo hayajui na hana uhakika nayo; Olesendeki kwa kuambiwa kuwa elimu yake ya kidato cha sita iliyoishia na division zero isingemwezesha kutambua kwa kina masuala ya gas.

Kwa ujumla Muhongo na Maswi walilazimika kuondoka katika nafasi zao kutokana na kuwa wakweli wa kupindukia.

amini usiamini, muhongo akigombea anapita. pamoja na kwamba alijiuzuru lakini kwa kipindi chake ameonyesha uwezo mzuri sana kushughulikia mambo. anaweza kuwa aliboronga issue ya escrow, hela ambazo zilikuwa za mtu binafsi hata mimi ningechukua, si za rugemarila? tena ruge alilipa na kodi? zingekuwa za tanesco hapo mngesema. tofautisha waliochukua hela za ruge na mwanasheria mkuu aliyesababisha kodi isilipwe tukala hasara ya 27 bl. hao wengine walichukua hela za mtu binafsi tena aliyelipa kodi. hawajachukua hela za singasinga hao, ni za ruge, hata mimi ruge angetaka kunipa ningechukua. jueni kuwa kufukuzwa kwao wamefukuzwa si kwasababu wameiba la, ndio maana hawajapelekwa mahakamani, na mahakamani hawapelekeki. walifukuzwa kwa kukiuka maadili ya umma yanayowataka ukipata hela nyingi uzitangaze/declare na wao hawakudeclare. na tatizo kama hilo adhabu yake huwa sio criminal, ni uwajibishwaji wa aina ile tu.

lakini asilimia ya watz wengi walimsapoti sana mhongo wakimtofautisha na ngereja ambaye kila siku tulikuwa na mgao, mhongo alikuja hatukuwa na mgao kwa muda mrefu sana na umeme umepanuliwa sana. sema tatizo alilofanya ni hilo kupokea hela kwa ruge na hakudeclare. hata rais wako alisema zile hela hazikuwa za umma, na ni kweli hazikuwa za umma.

ukiona ccm wamekosea leo hii wakamweka mhongo, amini usiamini hata ukawa wafanye nini atapita, na akipita ataifikisha hii nchi pazuri tu. hakuna asiyejua uwezo wa mhongo kwa tz hii. watu wana macho hata akiwa mchafu lakini ana mazuri yake.
 
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"

Kweli mnachekesha!!!!!, mbona Lowasa alipofuatwa kuombwa atangaze nia ilikuwa haramu? Mbona hamsemi kitu kwa huyo fisadi wa escrow?
 
Yawezekana ukadhani mimi ninaishi sayari ya MARS lakini mwenzangu ukawa umelela usingizi MZITO sana kiasi kwamba hata mifuko yako akija mtu anachomoa TARATIBU na kusepa na wewe bado upo kwa shuka.USINGIZI MWEMA.

Wenzako tualiamka kabla yako.............................:lalala::lalala::lalala:

Weeee basi nifunike jamani mpenzi
 
Muhongo kwa sasa hivi hafai hata kuwa mkuu wa kitengo cha jiolojia udsm atapotosha wasomi.
 
Jenga hoja ni kwanini? Na unamlinganisha na nani! Yaani hafai kuwatafutia Watanzania kusoma nje na ndani kuhusu mafuta na gesi? Kuwapelekea umeme Wananchi wa vijijini? Kusimamia kwa umakini mkubwa ujenzi wa bomba la gesi?.....
 
Weeee basi nifunike jamani mpenzi

Nikishakufunika si ndiyo utafia usingizini?Ningekushauri ule PONO.............hahaaaaaaaaaaaaaaaaa:smile-big::smile-big: Karibu :A S-coffee:
 
Eh yaani na huyu anataka kuwa rais? si atauza hata nguzo za umeme kwa singasinga:yo:
 
Kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, simple usitoke povu sana mzee

Ukishakashifu; au kejeli na mitusi; Hapo ndio upeo wa uwezo wako wa kufikiri??!!; na unatitle ya JF senior expert member kabisaaa?! Pathetic indeed! Huna tofauti na Muongo mwenyewe no wonder unampigia debe! Bs
 
Eh yaani na huyu anataka kuwa rais? si atauza hata nguzo za umeme kwa singasinga:yo:

Alishauza ngapi?? Sema atazidi kusambaza kwa kasi nguzo nyingi za umeme Vijijini na wanakijiji kuwapatia umeme utakaowawezesha kufungua viwanda vidogogo nakazalika kwa maendeleo yao! akipata nafasi hiyo mpe kura yako ya ndio.
 
Ukishakashifu; au kejeli na mitusi; Hapo ndio upeo wa uwezo wako wa kufikiri??!!; na unatitle ya JF senior expert member kabisaaa?! Pathetic indeed! Huna tofauti na Muongo mwenyewe no wonder unampigia debe! Bs

Umevuruuuuuuuuugwa pole, karibu chai, huku ukiendelea kuangalia profile bebe
 
Back
Top Bottom