Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,563
- 28,524
Ujue hapo kisha meza ndoano!!!!Wakuu,
Prof. Muhongo ameanza kupaniki!Gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa Muhongo amesema ni ujinga na upuuzi kujadili suala la IPTL.
Mwenye gazeti atupandikie hapa
Wabunge wetu vuteni tu, jamaa sasa hivi ataanza kukoroma.