Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Muhongo ameshawakata watu vilimilimi zaidi ya mara moja,hii inayokuja ni round ingine tena.sijui naye uprofesa wake ni kama wamkuu wa kaya ?
Muhongo ameshawakata watu vilimilimi zaidi ya mara moja,hii inayokuja ni round ingine tena.sijui naye uprofesa wake ni kama wamkuu wa kaya ?
Jambo hili limeamuliwa na mahakama kuu kwahiyo anayekataa akate rufaa lakini kujadili kwenye magazeti na bungeni ni upuuzi.
Ngoja muhongo atinge bungeni na kushusha data,wenyewe watazima fag.
ukweli na uhakika.
Kwa hiyo siku hizi majaji wakitoa hukumu wanalipwa milioni mia nne na waliyempa ushindi?tuwe angalau hata na tone la uruma kwa watanzaniaJambo hili limeamuliwa na mahakama kuu kwahiyo anayekataa akate rufaa lakini kujadili kwenye magazeti na bungeni ni upuuzi.
Siyo ujinga tu bali ni zaidi ya ujinga.
nchi inaibiwa ninyi mnaleta ushabiki wa kisiasa mpoleni sana, watu wanateseka mahospitalini wanafunzi wanakosa mikopo ninyi mnashabikia ufisadi poleni watz.
Muhongo ni mpuuzi
Mkuu ujaribu na zoom nao wanatoa toa matangazo ya ajira,hamna haja ya kusononeka sana,utapata tu kazi,uwe ni mwenye kusubiri.Labda ashushe matusi na kejeli alizozizoea,mwizi huyu aliyelambishwa asali sasa amechonga mzinga.Kazi kweli kweli.Wasomi tunaowategemea nidyo hawa wanatuangusha,wako radhi nchi iendelee kupepesuka wakati wao wanakula kuku kwa mrija.
Hongereni wenye nchi yenu,kuna siku mtaaibika sana na wengi wenu mtaishia kujitoa roho zenu.
Ukinipa ushahidi kuwa huyo hakimu kala milioni hata moja msimamo wangu utageuka kwa speed ya radi.Kwa hiyo siku hizi majaji wakitoa hukumu wanalipwa milioni mia nne na waliyempa ushindi?tuwe angalau hata na tone la uruma kwa watanzania
Wakuu,
Prof. Muhongo ameanza kupaniki!Gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa Muhongo amesema ni ujinga na upuuzi kujadili suala la IPTL.
Mwenye gazeti atupandikie hapa
Muhongo yuko smart sana tofauti na unavyodhani ngoja uone kama kunakitu kitapatikana cha maana zaidi ya porojo za wanasiasa za kutaka kuuza sura na kusikika.