fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,676
angeanza na service charge kuitoa tungemuelewa, kwa nini ulipie huduma ya mhudumu kukuletea chakula hotelin wakat ndo kazi yake?
Mkuu umeme uwe wa uhakika kwanza
angeanza na service charge kuitoa tungemuelewa, kwa nini ulipie huduma ya mhudumu kukuletea chakula hotelin wakat ndo kazi yake?
Huyu jamaa ana pumzi kinoma, baada tu ya kuapishwa break ya kwanza kwa MD wa tanesco huyo siku hiyo hiyo alifika kituo cha umeme cha Hale na Pangani akayaona ya kuonekana, mvua zinanyesha mgao uko pale pale kumbe mashine moja mbovu na TANESCO hawana hela ndio wanahangaikia mkopo kutoka Sweden. Lipo pia tatizo la walima nyanya na kabeji wanayachepusha maji.
Leo atakuwa Mtera akachungulie kabisa mwenyewe aone kama kweli wanayafunguliaga maji au mashine ni mbovu kama za hale. bravo prof wa ukweli.
Lizaboni usiwe mwongo kumsingizia Mengi,Prof Muhongo ana uchungu na nchi hii. Pia ni mtu ambaye anatumia vema taaluma yake. Pia ni mtu ambaye ana akili sana. Sema tu Mafisadi wakiongozwa na dalali mkuu, Reginald Mengi walitaka kuturudisha nyuma
hakika huyu jamaa ni jembe!
And he is arrogant too.....he need to work out in this.....hiyo sifa ni mbaya
Hata afanyeje iyo wizara kamshikia tu naibu wake kwa sasa....