John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 390
Haijalishi hata afanye kazi vipi
uliza naibu wake ni mbunge wa wapi...ndo utaelewa
Mkuu umeamua kushusha heshima yako jukwaanI kwa kasi ya jet siku hizi!!
Haijalishi hata afanye kazi vipi
uliza naibu wake ni mbunge wa wapi...ndo utaelewa
Hizo habari asingeweza kuzipata kwa kupiga simu tu?
Prof Muhongo ana uchungu na nchi hii. Pia ni mtu ambaye anatumia vema taaluma yake. Pia ni mtu ambaye ana akili sana. Sema tu Mafisadi wakiongozwa na dalali mkuu, Reginald Mengi walitaka kuturudisha nyuma
And he is arrogant too.....he need to work out in this.....hiyo sifa ni mbaya
Tena rais tuliyemtaka ndiye huyu huyu ambae hakujitayarisha kuwa rais. Sikutegemea hadi leo bado tu ulikuwa hulijui hilo. Huoni hata baadhi ya wizara kakosa watu wa kuwaweka? Ndio ujue hakujiandaa...ila kazi anaweza. Na ndio maana tulimpa kura za kutosha.
Yule mgonjwa na fisadi mkuu, Lowassa, alikuwa na matayarisho tangu 1995...ila hadi leo ukimuuliza fisadi Lowassa, ni kwa namna gani utaweza kufanya elimu iwe bure hadi chuo kikuu...jibu hana! Reference: Nenda kasikilize mahojiano kati ya fisadi Lowassa na mtangazaji wa BBC Swahili...Zuhura Yunus.
Mi nilihisi account ya huyu jamaa ipo hackedMkuu umeamua kushusha heshima yako jukwaanI kwa kasi ya jet siku hizi!!
angeanza na service charge kuitoa tungemuelewa, kwa nini ulipie huduma ya mhudumu kukuletea chakula hotelin wakat ndo kazi yake?
AISEE.. hii kitu ndio ufisadi nambo moja hapa nchini! Halafu inasemwa kila siku, but wapo kimya tu.... I hate CCM for this... Hata wafanyakazi wa TANESCO wanalalamikia sana hii capacity charge.. wizi wa mchana kweupe
Nasema hvi ata afanye zihara uchi bado mchafu tuuu... Huyo muongo tu
Hivi kufanya ziara ndio kupiga kazi??kweli mtoa mada umetumwa na babako !
Anatakiwa apewe chopa
Mdau uwe unaweka na akiba ya Maneno,so JK alishauriwa na akina Mengi ili ampige chini Prof wako?Prof Muhongo ana uchungu na nchi hii. Pia ni mtu ambaye anatumia vema taaluma yake. Pia ni mtu ambaye ana akili sana. Sema tu Mafisadi wakiongozwa na dalali mkuu, Reginald Mengi walitaka kuturudisha nyuma
Prof Muhongo ana uchungu na nchi hii. Pia ni mtu ambaye anatumia vema taaluma yake. Pia ni mtu ambaye ana akili sana. Sema tu Mafisadi wakiongozwa na dalali mkuu, Reginald Mengi walitaka kuturudisha nyuma