Prof muhongo huu si uongo?

Prof muhongo huu si uongo?

Msela jela

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
24
Reaction score
3
Habari wanabodi.
kutokana na kutokuwepo kwa umeme nmeshindwa kutafuta maana halisi ya neno mgao kwenye kamusi ya tuki.
sasa yapata saa ya kumi na tatu bila umeme huku kwetu temeke.cjui nini sababu labda kwakuwa jana sikuangalia luninga jana labda wenzangu mna taarifa kuhusu kutokuwepo kwa umeme nashindwa sema ni uongo kuambiwa kuwa hakuna mgao tena hali ya kuwa umeme haupatikani.
katika hali ya kawaida umeme ukiwepo ilala na usipokuwepo temeke manake kuna mgao.au ukiwepo masaki na usipokuwepo puna manake kuna mgao.
ndugu kwa hali hii mgao wa umeme upo au haupo? Km upo je prof anatudanganya ?
 
Kila mara akipata nafasi ya kuelezea hali ya umeme nchini anasema hakuna mgao na wakati umeme hakuna kila siku umeme unakatika kwa kipindi cha masaa yasiyopungua mawili hadi matatu sasa sijui nini maana ya mgao. Nadhani jina la huyu profesa sasa linadhihirisha jinsi alivyo muhongo juu ya suala la umeme, ni bora akasema kuna mgao ili tujipange.
 
Huyu jamaa mimi nimeshapoteza imani naye, naye ni msanii tu baada ya kuwekwa sawa na mafisadi ndani ya Serikali ya DHAIFU anaanza kupata kigugumizi cha maamuzi. Kumbuka ile kauli ya kwamba makampuni ya uchimbaji madini ambayo yako nchini kwa miaka mitano au zaidi yanatakiwa yaanze kulipa kodi ya 30% mara moja au yafungashe virago vyao. Baadaye kaanza kujiuma uma kwamba kauli yake ilieleweka vibaya. Sasa haijulikani kama kodi hiyo bado ipo na kama bado ipo itaanza kutozwa lini au ndio imeshakufa kinyemela.
Tanzania minister wants established gold miners to pay 30% tax - no excuses - GOLD NEWS - Mineweb.com Mineweb
 
Ushasahau kuwa huyu Muhongo ni katika list ya wana CCM wanaopendwa hapa JF?

Wengine ni:
Magufuli
Mwakyembe

Ukitaka ugomvi na wana JF ambao husema kuwa CCM ni mafisadi bas wewe waguse hao waheshimiwa

Typical JF double standards
 
usanii tu,hakuna cha profesa wala muhongo..
labda tumwite muongo...
tabata toka asub hakuna umeme..
sahizi dar yote Giza..
wanakula bata tu na ahadi fake
 
Huyu jamaa ni msanii sana yaani hivi ninapost hii meseji niko kwenye giza shame on this fake profesa
 
leo kila nipitapo kiza......

kweli wanaweka historia ya kutopatikana kwa umeme...tena siku hizi huambiwi kua ni mgao bali unaambiwa kuna 'hitilafu mtarudishiwa baada ya masaa mawili au matatu'
 
...Ngeleja mwingine huyu, tuliambiwa kichwa sana hana hata ukichwa wowote. Utakuwaje kichwa halafu uendelee kusema uongo kwamba hakuna mgao wakati kuna mgao katika maeneo mengi nchini na watumiaji wa umeme wanaweza kuthibitisha hilo.
 
Chezea Muhongo nyie!
Ninapoandika 80% ya daa hakuna umeme!
Chezea ccm nyie
 
yaani mliamini mgao kuwa historia? Hamjui ndo sehemu ya kuchotea mamilioni? Tena siku hizi wanaambia hakuna mgao ila ni 'hitilafu'
 
Aiseee huyu jamaa hata aibu haoni kabisa nilimuona juzi kwenye dakika 45 akiendelea kusema haya maneno yanayoudhi eti hakuna mgao sasa sijui maana ya mgao ni nini aisee hii ni aibu ya karne hivi uprofesa halafu uwezi kutofautisha mgao wa umeme na kutokuwa na mgao kweli maprofesa wa tz mbona hawana tofauti na mwanangu wa chekechea aisee, AIBUUUUU kubwa kabisa
 
usanii tu,hakuna cha profesa wala muhongo..
labda tumwite muongo...
tabata toka asub hakuna umeme..
sahizi dar yote Giza..
wanakula bata tu na ahadi fake

Mkuu giza lilianza toka mchana kwiiii kwi kwiii kwi.
 
Pamoja kwamba mimi ni mpenda mabadiliko sana na naichukia ccm bt Muhongo ni m2 makini sana tena sana coz yeye si political oriented,shida ni kwamba amezungukwa na mapapa wasiyopenda mabadiliko,waliotayari kutoa roho hili kumuchafulia yule atambuae majukumu yake,pole ccm
 
Hii sawa na kufukuza mwizi kimya kimya. Yeye siyo, sisi tunaona. Sasa tufanyeje.
 
huku kwetu usiombe ukiona umeme mchana jua usiku ola mgao ulishaanza muda
 
Ndugu yangu hakuna cha umakini wala nini kama ni mtu makini kwa nini anatudanganya watanzania kuwa hakuna mgao na wakati hata kipofu anajua kuna mgao utasema huyu ni mtu makini? huyu nae ni gamba tu hakuna cha profesa, kwanza sina record ya profesa yeyote ndani ya CCM amewahikperfom kama nimekosea nisahihisheni
Pamoja kwamba mimi ni mpenda mabadiliko sana na naichukia ccm bt Muhongo ni m2 makini sana tena sana coz yeye si political oriented,shida ni kwamba amezungukwa na mapapa wasiyopenda mabadiliko,waliotayari kutoa roho hili kumuchafulia yule atambuae majukumu yake,pole ccm
 
usanii tu,hakuna cha profesa wala muhongo..
labda tumwite muongo...
tabata toka asub hakuna umeme..
sahizi dar yote Giza..
wanakula bata tu na ahadi fake
huuuo umerudi!
kwa shirika linaloongozwa kisiasa na zaidi kifisadi Prof. ukweli wake lazima utaingia walakini maana yeye anasema anachoamini wanzake wanatenda kifisadi!
wapi mkurugenzi papaa mhando?
haaayaaaa wamekata!
 
Lazima aseme hakuna mgawo,kwake kuna AUTOMATIC GENERATOR yaani unapokatika hawezi jua. SIASA wala haihitaji Pro,Dr,Eng na n.k suala ni kupiga uongo yako yanyooke vzr.THATS ALL!
 
kama mgao haupo nyumbani kwake na ofisini kwake atasemaje kuna mgao?
 
Mzee wakula magengeni na kulala 5* hotel.. teh teh teh hakuna mgao, anaumwa kweli huyo profesa...
 
Back
Top Bottom