Prof muhongo huu si uongo?

Prof muhongo huu si uongo?

Siku hzi wanasema kuna ukarabat wa miundombinu tutakata umeme. Hyo ndo stail mpya ya mgao. Baadae unawaona Tanesco wanazurula tu. Leo kuna mvua toka alfajir mpaka sasa na wamekata umeme et wanakarabat,kwa mvua inayopga cdhan kama kuna m2 yupo site. Najua huu ni mgao.
 
Gari yako, pikipiki yako, baiskeli yako na hata Simu yako tangu inunuliwe haijapata hitilafu hata siku moja kweli.

We utakuwa ndiye Badra Masoud mpayukaji. Mishipa imekutoka ilihali wafahamu ukweli. Kwenda zako na Muongo wako!
 
Mi niliweka uzi wangu kuhusu ukweli wa mgao Mods wakauchinjia mbali,kiukweli mgao umebadirishwa jina na kuitwa hitilafu. Jana saa moja jioni,km kawaida Nyegezi kuanzia jeshini kuelekea Buhongwa walikata,njapiga +255 282500090 TANESCO HUDUMA KWA WATEJA nikapewa jibu kuwa Load ni kidogo ndo maana wamekata. Nijauliza kuwa hiyo load inakuwaga ndogo eneo letu tu kila ifikapo saa moja? Nikajibiwa hata maeneo ya Sabasaba umeme umekatwa kwa hiyo vumilieni tu umeme utarudi. Nikatamani nimpigie waziri mwenyewe bahati mcya namba yake sikuipata! Hapa Muhongo aache uongo,mgao upo hata kama kwa jina la hitilafu au Load ndogo. Mbwembwe za kuzalisha Megawati 1400 na matumizi yetu 831 yako kwenye takwimu anazowekewa mezani kwenye daily reports zake bt practicaly tunazalisha less!
 
Mzee wakula magengeni na kulala 5* hotel.. teh teh teh hakuna mgao, anaumwa kweli huyo profesa...

Kweli shida ya uongozi Tzania si watu bali ni mfumo, Muhongo maneno meeeengi lakini mgao wa umeme palale! Mimi nipo Mwanza Kiseke hakuna umeme tangu jana jioni.

Unacheza na wasanii wa ccm!!
 
nashangaa sana wanaomtetea huyu 'hero' wao...

Haya sasa hivi umeme umekatika hapa....

Na hio ni mchezo toka jumatatu hadi jumapili.....

Bado watu wana guts za kutetea na kuita hitilafu... Eti profesa kafanya mengi, mengi mangapi? Ya kuendeleza mgao?

Upuuzi mtupu..........
Gari, pikipiki Au baiskeli hata Simu yako haijwawai kupata hitilafu. Hitilafu ya Vitu vilivyotengenezwa na Binadamu Ni wakati wowote nawe usituzuge huko kwenu uliko na ulikotokea mambo ya Kila kitu Ni supper kweli.
 
Kweli shida ya uongozi Tzania si watu bali ni mfumo, Muhongo maneno meeeengi lakini mgao wa umeme palale! Mimi nipo Mwanza Kiseke hakuna umeme tangu jana jioni.

Unacheza na wasanii wa ccm!!
Ndo maana kukawekwa Simu za datura za TANESCO ukiona tatizo la Umeme unetoa taarifa.
 
Kweli shida ya uongozi Tzania si watu bali ni mfumo, Muhongo maneno meeeengi lakini mgao wa umeme palale! Mimi nipo Mwanza Kiseke hakuna umeme tangu jana jioni.

Unacheza na wasanii wa ccm!!

Ukienda kwenu ukala mlenda utasema Hilo genge Au Chakula Cha asili.
 
Back
Top Bottom