Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?
Pumbavu kabisa, jimbo la ubungo na kibamba ni majimbo ya hovyo kabisa. Yaani wilaya ya ubungo hatutaki kuwaona wabunge wake, huyo Mchomvu ndio hamna kitu kabisa...
Pumbavu kabisa, jimbo la ubungu na kibamba ni majimbo ya hovyo kabisa. Yaani wilaya ya ubungo hatutaki kuwaona wabunge wake, huyo Mchomvu ndio hamna kitu kabisa...
Kazi gani?
Ameshabikia bandari kuuzwa as if kizazi chake hakitaishi Tanzania. He can not see beyond his nose.
Hivi Mkumbo alikua mwalimu kweli UDSM? Anyway sishangai sana maana hata Mkenda na Shukuru Kawabwa nasikia walishawahi kufundisha Udsm.
Nakuhakikishia ccm wakimuweka huyo hapati kura kajamaa tokea kapate uwaziri kamepotea kabisa.
mimi binafsi ni mkazi wa kimara simkubali kabisa kitila na akisimamishwa simpi kura yangu
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?
Nakuhakikishia ccm wakimuweka huyo hapati kura kajamaa tokea kapate uwaziri kamepotea kabisa.
mimi binafsi ni mkazi wa kimara simkubali kabisa kitila na akisimamishwa simpi kura yangu
Wewe hunijui wala sitaki nikujuwe .
Mimi ni mkazi wa kimara ambapo kwenye ubunge panatambulika kama jimbo la ubungo.
Wewe ndio utakuwa hujitambui.
Hakuna jimbo la ubunge linaloitwa kimara.