Prof. Mkumbo, jibu haya maswali, Sikuelewi kabisa!

Sijapata kuona Mkumbo kasomea mambo ya siasa lakini hawezi kuongoza chama cha siasa. Dr.Bana kasomea siasa lakini hawezi kuongoza siasa wao wanachambua tu. Mkumbo alipewa nafasi ya Kugombea Urais kupitia ACT akalala mbele. Sisi ndio tulitaka tuone utaalamu wake kwenye mabo ya siasa, siasa zinafanywaje na kuwaonyesha dira wapinzani, lakini yeye anakimbia. Wamekuwa mabingwa wakukosoa wanachofanya wapinzani lakini wakipewa nafasi waonyeshe siasa bora zinafanywaje na kuleta tija kwa chama na Taifa wanalala mbele Ha ha Mkunbo bwana.
 
Unamdharau halafu tena unamuuliza swali?

Kama unafahamu akili yake haina tofauti na mwanafunzi wa darasa la saba, kwa nini unapoteza muda wako kumuuliza mtu mwenye akili ya darasa la saba?

Hata darasani huwezi kumdharau mwalimu halafu baadaye ukamuuliza swali ukitegemea atakupatia jibu.

Hivi hii approach nani amekufundisha kuitumia katika uwanja wa nguvu za hoja?

Kwani mtu wa darasa la saba haulizwi maswali?/ au anaulizwa maswali yanayolingana na upeo wake?
 
Sijapata kuona Mkumbo kasomea mambo ya siasa lakini hawezi kuongoza chama cha siasa. Dr.Bana kasomea siasa lakini hawezi kuongoza siasa wao wanachambua tu. Mkumbo alipewa nafasi ya Kugombea Urais kupitia ACT akalala mbele. Sisi ndio tulitaka tuone utaalamu wake kwenye mabo ya siasa, siasa zinafanywaje na kuwaonyesha dira wapinzani, lakini yeye anakimbia. Wamekuwa mabingwa wakukosoa wanachofanya wapinzani lakini wakipewa nafasi waonyeshe siasa bora zinafanywaje na kuleta tija kwa chama na Taifa wanalala mbele Ha ha Mkunbo bwana.
Hapa umenena mkuu! Wamekoa mabingwa wa kuponda lakini waoga kuingia ulingoni wanakimbia! Ndio maana hawa nawaita kazi zao ni kikanja?ja ujanja.Mkumbo alikua anajua akisimama kwenye nafasi ya urais asingeweza kuikosoa serikali ambako anajipendekeza mara kwa mara! Na pia asingeweza kurudi chuoni kufundisha wangemtimua.
 
Back
Top Bottom