johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,010
Na Prof Mchembe msukuma.Mchembe ajue Gwajima ni msukuma, aangalie asije akadondoka
Inabidi sasa Dr Dorothy apunguze mihemuko.Nani hapo Tz hasiyejua kwamba Dorothy ni ze comedian kama bwana kangi wa Mubala ?
MnyirambaMchembe ajue Gwajima ni msukuma, aangalie asije akadondoka
Yule aliyekuwa anatunishiana msuli na Shabiby ndio mke wa Prof Mchembe?Na Prof Mchembe msukuma.
Tena mke wake mkuu wa Wilaya(sijui kama alihama Gairo)!
Abood huyu mwenye magari ya kuzikia?..sasa kati ya Mganga Mkuu na Abood yupi muuaji?
Yaps ni mwenyewe.Yule aliyekuwa anatunishiana msuli na Shabiby ndio mke wa Prof Mchembe?
Basis ngoma droooooooBNa Prof Mchembe msukuma.
Tena mke wake mkuu wa Wilaya(sijui kama alihama Gairo)!
Hapo utakuwa umekosea. Fanya utafiti ili ujue huyo Mchembe unayemsema katika wapi.Mchembe ajue Gwajima ni msukuma, aangalie asije akadondoka