Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Mh waziri popote ulipo kwanza tunakupa pole kwa kifo cha mkuregenzi wa mamlaka ya uwanja wa ndege aliezikwa leo hapo kisutu bwana ametoa bwana ametwaa.
Baada ya totee naombaa nirejee uangalie mikataba ya huyu mhindi hapo juu anayeuza dutyfree shop na sasa anauza chakula amediriki kufukuza watu akishirikiana na uongozi wa taa narip kuondoa watu na kupewa vibanda vya biashara ambavyo tunalipwa hela ndogo sana za kishenzi kwa sq mtr huku baadhi ya viongozi wakilipwa hela nyingi kuendeleza mikataba hii michafu.
Binafsi kinavhohuzunisha ni kukosa uzalendo kwa baadhi ya viongozi wa taa..swala hili mungu amuwekepema peponi dg ameshapelekewa sana malalamiko haya hakukuwa na kilichofanyika.
Mbaya zaidi tunaomba huyu bwana malizake alipe kodi..kwanini nasema hivi ana vinywaji analeta kila siku anaweka pale juu vikali.
Vinywaji hivi vinaingizwa dutyfree nchini, cha ajabu pale juu unakuta anauza bei kubwa kuliko mtanzania anaeuza pombe hizo huku nje ya airport.
Kibaya zaidi mumyangalie anaingizaga vinywaji na vitu mbalimbalii vinapita pale kwenye mashine vinalia na vinaruhusiwa kwenda mbele.
Mtu huyu huyu ama mfanyakazi wake alshabab ama watu wabaya wanaweza tumia mbinu hii kuingiza bomu na wale wasimamizi wa mashine wala awajali.
Tunawaasaa muwahakikiki kila kinachoingizwa cha huyu bwana na kingine Mh waziri nenda pale naamini umekuwa ukipita pale ukaona bei zao.
Chai. alf 3000
Andazi. 5000
Donalt 5000
Chapati 3000
Cake ndofo kabisa 5000 na sasa 3000.....
Vyakula dolla 21-25
Huyu tra mnatakiwa mwende nantakukuru kuna tra wamekuwa wakija na kufanya biashara nakugeukaa..walete na takukuru nanpolice kuchunguza.
Kila kitu dola mpaka andazi dola ukitaka kunujua unabadilishiwa reti ya dola huu n ushenzi kabisa mh waziri..katibu wa wizara husika muda muafaka kufumbua kinavhoendeleaa na kama mtataka msaada zaidi tuko kwa ajili hiyo.
Mtu huyu amekuwa akizuia kabisa kwa kushirikiana na uongozi wa taa kutotoa hata chumba kimoja ama viwili kwa mtanzania kuweza kupika na wafamyakazi kuweza kula.