Teh! Wewe ndiye hukuelewa toka mwanzo. Kilichokuwa kinajengwa ni standard gauge railroad (SGR) na sio high speed railroad (HSR) ! Mjifunze ku-read between the lines kauli za wanasiasa.Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Mkuu jifunze kwenye mabasi ya Mwendokasi!! Au reli ya Tazara nayo ni SGR isiyo ya umeme!Hiyo tofauti ya ujenzi kati ya reli za China na Korea na hii reli yetu ya SGR ni ipi?
Nina wasiwasi Mbarawa asijekutumia udhaifu wao wa kununua vichwa chakavu vya treni ya SGR, vilivyosababisha spidi iwe ndogo, akahamishia kwenye ujenzi wa reli...
🤣 🤣 🤣Teh! Wewe ndiye hukuelewa toka mwanzo. Kilichokuwa kinajengwa ni standard gauge railroad (SGR) na sio high speed railroad! Mjifunze ku-read between the lines kauli za wanasiasa.
Masaa 3 ni Dar to Dom. Dar to Moro ni masaa 1.5. Siyo mbaya sana.Hiyo tofauti ya ujenzi kati ya reli za China na Korea na hii reli yetu ya SGR ni ipi?
Nina wasiwasi Mbarawa asijekutumia udhaifu wao wa kununua vichwa chakavu vya treni ya SGR, vilivyosababisha spidi iwe ndogo, akahamishia kwenye ujenzi wa reli...
Bila shinikizo wala kelele...Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Mkuu hiyo ni santuri nyingine mpya baada ya kuona ya Mabeyo mnachokonoa saaana! Mdundo wake sio mbaya!Hii treni imekuwa na drama nyingi sana
Mkuu itazame na wewe taarifa ya iTV kwenye mitandao yao ya kijamii.Sijui Kama ni kweli,
Au umeshindwa kumuelewa ,
Litakuwa bonge la hasara kwa nchi yetu
Very sad
Mwendo wa mnyonge wa bongo thiooo😁Acha tuendelee kupanda ally's Star na katarama
Ni mwendo kasi kulinganisha na reli ya sasa 60 kph na std gouge ni 120 hadi 160 kph. Zile high speed bullet train japan, tgv ya ufaransa au ile network ya wachina tunazungumzia 350 pengine hadi 500 kphMkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Hayo masaa matatu labda itembee maximum speed (160km/hr) bila kusimama kituo chochote njiani.Nimemuelewa mdau kuwa ufanisi mdogo,ila bado masaa 3 dom,hata zile vx,8 na korokoro zifananazo na hizo za siiirikali bado haziwezi toboa dom masaa 3😁
Lengo letu tunaanza kulijua....mtaeleza muda ukifika!My take; Naona kama tumebadllishiwa gia angani. Mbona mwanzo tuliambiwa itakuwa treni ya mwendo kasi? Kama Dar mpk Moro ni saa moja na nusu, kuna haja gani ya kuitumia? Si ni bora watu waendelee kutumia IST ama Vitz zao tu?
Tumepigwa na kitu kizito kichwaniMkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.
Ndipo waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa akasema "naomba wananchi waelewe hii treni siyo ya high speed kama zile za China na South Korea. Na hata ujenzi wa reli yake ni tofauti na hii ya kwetu ".
Source: ITV habari.
My take; Naona kama tumebadllishiwa gia angani. Mbona mwanzo tuliambiwa itakuwa treni ya mwendo kasi? Kama Dar mpk Moro ni saa moja na nusu, kuna haja gani ya kuitumia? Si ni bora watu waendelee kutumia IST ama Vitz zao tu?