Prof Mark Mwandosya Azushiwa Kifo!

Prof Mark Mwandosya Azushiwa Kifo!

NGURUWE PITA, LEO SINA MKUKI ................... (Malila of JF).
 
Kamura,

siyo suala la kuzushia watu vifo, ni habari zilizokuwa zimeenea katika miji ya Mbeya na Dsm jana. labda tukubariane kwamba tukipata taarifa kama hizi tusiziweke humu kwenye janvi. lakina kwa upande wangu naona ni vyema tukaendelea na utaratibu huu kwa hapa janvini ni mahari unapoweza kupata taarifa za uhakika kwa haraka
 
Mods naomba hii thread ifungwe mara moja. Hatujaishiwa hoja kiasi cha kuleta tetesi za aina hii humu. Kwanini jukwaa liwe la teteai jamani. Oooh Mwakyembe Kalishwa sumu mara ooh Mwandosya kafa. Mwisho tutaambiwa Yesu karudi sasa!

Kwa akili ya kawaida huwezi fananisha kurudi kwa yesu na kulishwa sumu kwa mwakyembe au kifo cha mwandyosa hawa ni binadam lolote laweza wakuta ati
 
Jamani taarifa toka kwa watu wa karibu zinasema kuwa Prof, aliisha maliza matibabu anacho endelea nacho ni mazoezi tu, ikumbukwe hospitali kubwa check up tu inaweza kuchukua zaidi ya mwezi mmoja na matibabu nayo yanaweza kuchukua mwezi mmoja then unatakiwa kufabnya mazoezi huko huko kwa zaidi ya mwezi mmoja. afya ya Prof, isiwe mjadala wetu. naamini huu ni mradi wa mafisadi wa nchi wasiyo itakia mema TZ.
 
Mods where are u.....shame on U all Mods!!
 
...naona taarifa za hapa leo ni kupasuana mtima tu...
 
Kwa nini lakini tunazusha tetesi za vifo?
 
ila jamani kijana kaweka kiulizo ...hamkioni?
 
in the midst of life we are in death. Get well soon though hutakwepa hii kitu prof be it soon or later.
ADIOS
 
Nitacomment nikisha confirm na sources zangu binafsi
 
NAPITA. Salama jamani????????????:A S embarassed:
 
Wana jamii

Jana zilienea habari juu ya kufariki kwa waziri w maji Prof Mwandosya katika mikoa ya Mbeya na Dar es Salaam. hata hivyo baada ya kufuatilia niliweza kuongea na mtu wa kalibu naye ambaye alinieleza kuwa alikuwa ameongea na prof pamoja na mke wake mida ya saa 1:30 usiku wakiwa wachangamfu.

nawaomba watu walio kalibu na familia ya prof waendelee kutujuza maendeleo ya kiafya prof huko india. naomba pia tuendelee kujuzwa juu ya hali ya kiafya ya Dr Mwakyembe anayesadikiwa kalishwa sumu na kupelekwa india

nawasilisha
kwa kuwa mimi nilikua sijui, basi naona wewe ndiye unayemzushia kifo

:A S embarassed:
 
Ukiona hivyo basi ujue kifo hakipo mbali, maana mtu akuzushiwa kifo basi ujue siku zake zinahesabika.
 
Hivi bado hajaponaga tu!miezi minne sasa imeisha!kulikon Mbeya?Mwakyembe mgonjwa,Mwandosya mgonjwa,jana mwigine kakamatwa kwa kutishia kuua!Ni vp nyie watu huko,kuna tatizo gani?

Wapi jeremiah sumary?mbn kimya?
 
Back
Top Bottom