Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Usipende wala kushahabikia kuchuria watu kifoWana jamii
Jana zilienea habari juu ya kufariki kwa waziri w maji Prof Mwandosya katika mikoa ya Mbeya na Dar es Salaam. hata hivyo baada ya kufuatilia niliweza kuongea na mtu wa kalibu naye ambaye alinieleza kuwa alikuwa ameongea na prof pamoja na mke wake mida ya saa 1:30 usiku wakiwa wachangamfu.
nawaomba watu walio kalibu na familia ya prof waendelee kutujuza maendeleo ya kiafya prof huko india. naomba pia tuendelee kujuzwa juu ya hali ya kiafya ya Dr Mwakyembe anayesadikiwa kalishwa sumu na kupelekwa india
nawasilisha
kunataarifa nimeiona kwenye facebook,mtu anamjulisha rafiki yake kuwa prof hatunaye tena hizi taarifa ni za kweli jamani?naomba mwenye taarifa atujuze,na kama ni kweli taifa limepoteza mtu
Unanikumbusha vile vi mbwa vidogo ambavyo havikupata kunyonya vizuri,,, hivi huwa vinabweka hovyohovyo,, kikiona nguo imeanikwa kinabweka,, kikiona mbalamwezi kinabweka,, hata kikiona mkia wake tu kinabweka.. Sasa ni sawa na wewe na wengine wenye akili kama yako,, kila kitu CCM,, ukose pesa kwa kutojishughulisha,, ccm, uachwe na mumeo...ccm....upupu mtupuKazi ipo mwaka huu, naona ccm haiowataki watu wa Mbeya, lakini ccm waangalie wanakotupeleka coz hatuta kubali ndugu zetu wafe coz ya maslahi binafsi. Naona nchi hii sasa inatakakuendeshwa kigaidi na hawa ccm. Ccm ole wenu narudia tena ole wenu.
Next time, unakuja na link, ili tuifatilie authenticity yake.kunataarifa nimeiona kwenye facebook,mtu anamjulisha rafiki yake kuwa prof hatunaye tena hizi taarifa ni za kweli jamani?naomba mwenye taarifa atujuze,na kama ni kweli taifa limepoteza mtu