Prof. Mark Mwandosya akiri kuugua Corona, athibitisha kupata matibabu hospitali ya Nairobi. Aomba viongozi wa nchi wafuate sayansi kukabiliana nao

Watamroga bure hawa majirani. Cha ajabu ni kwamba hakuna mmoja wao anajaribu kukana kwamba viongozi wao wanafikishwa Nairobi kila uchao kisa makali ya COVID-19. Wote wamekolia tu kwenye chorus kwamba Corona haina tiba.
Sasa nashangaa kwanini hawajiulizi watu wakiugua huwa wanafikishwa hospitalini kufanya nini. Kumbuka wanayo hospitali yao ambayo imefungwa nyungu ya kutoa chanjo na tiba za Corona, zote kwa mpigo.

Sasa kama mko na kinga ya corona nini mbaya mmewekewa curfew ?? Na hizo vaccines mlipewa ndo muongeze makalio au? Mbona mnajibeba ujinga, kama Nairobi hospital inatibu corona why curfew then ? Mlichukua kinga za wenyewe ndo muongeze nguvu za kiume au ? Non sense

Semen tu mnatuonea wivu juu huku life goes on as usual and we don’t care , nyie Easter mmelia ndan kama umbwa mijinga hii uhuru anawabeba ujinga mxieew
 
Hehehe!! Wakati nimeleta taarifa za professa wenu akishukuru kutibiwa corona kwetu hapa mpaka akapona na kurudi nyumbani akiwa mzima, mlipaswa mtushukuru.

Sasa kama mnatibu corona curfew mliweka ya nini, hizo vaccines mnazodungwa kwenye makalio zimewasaidia nini mbona mnakufa? Ni makasiriko tu mko nayo mxieeew tuachen na maisha yetu
 
Bado nashindwa kuelewa lengo la huyu mzee kutangaza alienda kutibiwa corona Kenya ni nini wakati huko pia kuna watu wanakufa na wengine wanapona kama ilivyo Tanzania. Kaka yangu kakaa ICU siku 3 bongo kwa corona na kapona sasa sidhani kama yeye alikuwa mahututi kiasi hicho hadi atufedheheshe kwamba alienda Nairobi kana kwamba hapa hakuna Madaktari.
 
Ni kama vile tu mnavyozuia Mahindi kuingia Kenya halafu mwaja kuyanunua kwa njia za Panya.Ila endeleeni Maana njia za Panya ndizo zinazoleta mzunguko mkubwa wa hela kuliko zinazopitia mfumo rasmi.Wakenya banaa
Unaongea ni kama Tanzania ndio nchi pekee inayolima mahindi. Wewe umelemazwa akili na sisiemu. Mahindi tunanunua hadi Mexico zuzu wewe
 
Bado nashindwa kuelewa lengo la huyu mzee kutangaza alienda kutibiwa corona Kenya ni nini wakati huko pia kuna watu wanakufa na wengine wanapona kama ilivyo Tanzania. Kaka yangu kakaa ICU siku 3 bongo kwa corona na kapona sasa sidhani kama yeye alikuwa mahututi kiasi hicho hadi atufedheheshe kwamba alienda Nairobi kana kwamba hapa hakuna Madaktari.
mi nadhani pengine aliwaona hamuko serious ikija kwa suala la afya ya binadam. hakutaka kufanya mazingaombwe ya sijui kupiga nyungu mara malimau, mbuzi, mapaipai, press ups.... vituko juu ya vituko. hamueleweki. wapo wengi watakao jitokeza tu maana ile hofu ilishaenda na mwendazake. nchi sasa imetulia
 
Hujielewi korona siyo isue kubwa Tanzania sasa nyie mnauserious gani mbona mnakufa Sana kuliko Watanzania angalia juzi tulijikusanya Sana lakini hakuna kesi ya korona by the way hata uingereza wameshaiga staili yetu wasema wataishi na korona kama homa zingine.
 
Kuna mambo mnachanganya. Kabla ya kuumwa ndio watu wameambiwa wapige nyungu na takataka nyingine zisizothibitishwa ila ukiumwa unaenda hospitali wanakutibia kisayansi, hakuna daktari atakwambia ukapige nyungu.
 
Hujielewi korona siyo isue kubwa Tanzania sasa nyie mnauserious gani mbona mnakufa Sana kuliko Watanzania angalia juzi tulijikusanya Sana lakini hakuna kesi ya korona by the way hata uingereza wameshaiga staili yetu wasema wataishi na korona kama homa zingine.

Sio issue kubwa wakati mumeomboleza nchi yote na kuanza kulaumu akina Museveni kwa kutokuja kwenye msiba, nyie nit kituko cha mwaka, labd huyu mama atawasafisha...

2733260_Screenshot_20210405-080705.jpg
 
Hahaha boss whether you like it or not, alikua Nairobi hospital, mambo za picha sahau tu that would have been insensitive, atakama iko not at this time
Leteni vivid evidence free media nation, mambo ya whether you like it or not ni unajicomfort mwenyewe tu. Mrithi wake anaendeleza alipoachia abt Corona, wananchi wa naendeleza alipoachia, naona de illusion he came to Kenya might be comforting you guys in your lockdown.
 
Sio issue kubwa wakati mumeomboleza nchi yote na kuanza kulaumu akina Museveni kwa kutokuja kwenye msiba, nyie nit kituko cha mwaka, labd huyu mama atawasafisha...

2733260_Screenshot_20210405-080705.jpg
Uliona maombolezo lkn, zero distance, mbona hatuna mlipuko kama nyinyi mlio lockdown na vaccines juu. Labda mama atasaidia, umemwona akisaidia hadi sasa?

Museveni nani kamlalamikia, mlalamikieni nyie aliewachinjia baharini kwenye oil pipeline, eti analalmikiwa hajaja kuzika, ila ukishakuwa mkikuyu afu ni chawa wa uhuru, matokeo yake ndio akili zako mkuu.

Wananchi wenzako wanalalamikia life lilivyo tight kisa propaganda za covid, mnaibiwa hadi misaada, mnakopa huko, wewe mnufaikaji kutwa kuchungulia Tz.

endelea kuiwazia bongo
 
Bado nashindwa kuelewa lengo la huyu mzee kutangaza alienda kutibiwa corona Kenya ni nini wakati huko pia kuna watu wanakufa na wengine wanapona kama ilivyo Tanzania. Kaka yangu kakaa ICU siku 3 bongo kwa corona na kapona sasa sidhani kama yeye alikuwa mahututi kiasi hicho hadi atufedheheshe kwamba alienda Nairobi kana kwamba hapa hakuna Madaktari.

Mkuu umeona watu aliowashukuru lakini? Huu ugonjwa ni biashara za watu.
 
Hakuna Corona Tanzania Kama ingelikuwapo basi Tungekuwa Tumekufa.Maana sio Kwa Mkusanyiko Ule wa Kumuaga Hayati.Hata Hivyo Niwatoe Hofu tu Wakenya Ni hivi,Watanzania Wote Tushawahi ugua Corona Na Iman yetu Ikatuponya
We jitoe tu ufahamu
 
Uliona maombolezo lkn, zero distance, mbona hatuna mlipuko kama nyinyi mlio lockdown na vaccines juu. Labda mama atasaidia, umemwona akisaidia hadi sasa?
Museveni nani kamlalamikia, mlalamikieni nyie aliewachinjia baharini kwenye oil pipeline, eti analalmikiwa hajaja kuzika, ila ukishakuwa mkikuyu afu ni chawa wa uhuru, matokeo yake ndio akili zako mkuu.
Wananchi wenzako wanalalamikia life lilivyo tight kisa propaganda za covid, mnaibiwa hadi misaada, mnakopa huko, ww umbwa mnufaikaji kutwa kuchungulia Tz.
Man eat man fvcked up nation, endelea kuiwazia bongo
Halafu media yao chonganishi kama kawaida waliripoti ati Uhuru tu ndo alikuja! Kwa dhumuni la kujipendekeza waonekane wao ndo wanajali zaidi!
 
Uliona maombolezo lkn, zero distance, mbona hatuna mlipuko kama nyinyi mlio lockdown na vaccines juu. Labda mama atasaidia, umemwona akisaidia hadi sasa?
Museveni nani kamlalamikia, mlalamikieni nyie aliewachinjia baharini kwenye oil pipeline, eti analalmikiwa hajaja kuzika, ila ukishakuwa mkikuyu afu ni chawa wa uhuru, matokeo yake ndio akili zako mkuu.
Wananchi wenzako wanalalamikia life lilivyo tight kisa propaganda za covid, mnaibiwa hadi misaada, mnakopa huko, ww umbwa mnufaikaji kutwa kuchungulia Tz.
Man eat man fvcked up nation, endelea kuiwazia bongo

Hatuwezi tukajua maana mumeswagwa zaidi ya raia wa North Korea, tunajua tu kwa wachache wenye hela wanaokuja mpaka huku kutibiwa.
 
Ufahamu ni upi mkuu, hii corona ww unaielewa, kwann haitughasi Tz kama kwingineko, sababu ingekuwa ni kitu kikubwa, ingeonekana tu.
Mapadri zaidi ya 30 wamekufa ndani ya miezi miwili.
Bado tu huamini? Unataka nini? Hadi hawara wako afe?
 
Endeleeni kubwabwaja mlichukia mkopo kutibu Corona na Corona bado haujaisha sahivi mnalilia Mara ooh deni la taifa limekuwa kubwa hela tuliyokopeshwa imeliwa na wajanja,njooni Tanzania stress za kufungiwa zitawamaliza ss.mambo yanaendelea Kama kawaida na Wala hayo mnayoambiwa kwamba Tanzania Corona inatumaliza hayapo huku kuko shwari hata ww ukija utazurula unavyotaka bila shida yoyote.Hao wanaokwea pipa kuja kwenu wanamaradhi mengine tu sio corona
 
Back
Top Bottom