Prof. Maghembe Yuko Taabani Mwanga Kumekucha Sasa

Prof. Maghembe Yuko Taabani Mwanga Kumekucha Sasa

Mimi nipo Wilaya ya Mwanga kwasasa... Niko hapa Usangi. Chadema hakuna anayekijua

Kwanza wanawaona wahuni toka kijana wenu Adieli akimbie kwa wizi wa Laptop za shule ya Usangi day.

Kighare toka ashinde Rays ni vurugu tupu, miradi ya kijiji imekwama.

Kwasasa tunamalizia Ujenzi wa chanzo kipya cha maji hapa ndanda, Mchali tumeshafungua visima viwili.. Mwanga mjini kuna mradi mkubwa wa maji wa maji unamaliziwa.

Kuhusu ujenzi wa Maabara karibu shule zote zina maabara za kisasa.

Jitambue ww baba yako ni haki yako kukupeleka shule na kukulea na ndio kama serikali ni jukumu lake popote pale dunian kuwanya hivyo usione barabara unasema eti ccm kajenga ni lazima ajenge na ukija uongozi mwingine hivyohivyo lqzima wafanye sio ww hela ipo ila inaliwa na wachache
 
Mkuu Waache Hawa Magamba Watapetape Huyo Adiel Ni Nan Kwenye Cdm Na Hebu Athibitishe Alikuwa Nani Hapo Usang Day Hadi Akapewa Dhamana Hapo
 
Hatutishiki Kamwe Wala Hatutetereki Wewe Unayejiona Umebeba Dhamana Ya Uhai Wetu Bas Hiyari Yako Kufanya Utakavyo Si Si Wahalifu Kama Unajitutumua Kutuvika Hatia!!! Ukombozi Ukitaka Kuja Unakuja Hauwezi Zuia Kwa Kutumia Rungu La Dola Na Ukiendelea Kutufwatafwata Tutaiweka Namba Yako Hapa Jina Lako Wadhifa Mahali Ulipo Na Unachotaka Kufanya Na Unatumiwa Na Nan?
 
- safi yule kijana wetu kileo kajiandaa vizuri kuchukua jimbo washamfanyia ukanjanja? Maana hawa jamaa hawachelewi walichomfanya leo lipumba ni hatari!

Ccm kwa sasa wapo ICU na wakitoka hapo wanaishia ICC kwa kuhukumiwa kutokana na wanayowatendea wananchi
 
Mimi nipo Wilaya ya Mwanga kwasasa... Niko hapa Usangi. Chadema hakuna anayekijua

Kwanza wanawaona wahuni toka kijana wenu Adieli akimbie kwa wizi wa Laptop za shule ya Usangi day.

Kighare toka ashinde Rays ni vurugu tupu, miradi ya kijiji imekwama.

Kwasasa tunamalizia Ujenzi wa chanzo kipya cha maji hapa ndanda, Mchali tumeshafungua visima viwili.. Mwanga mjini kuna mradi mkubwa wa maji wa maji unamaliziwa.

Kuhusu ujenzi wa Maabara karibu shule zote zina maabara za kisasa.

Ujenzi wa maabara unaendeshwa kwa michango ya wananchi kwa kuwalazimisha .
 
Ujenzi wa maabara unaendeshwa kwa michango ya wananchi kwa kuwalazimisha .

Hapa Mwanga hakuna ujinga wa kulazimishana kuchangia Elimu.

Wananchi tunajitambua. Mf. Shule ya Kighare imepata Ufadhili wa kujengewa Maabara na Simba Cement.

Kighare hiyo hiyo ilipata msaada wa kuwekewa Umeme na kampuni ya tiGO.

Haya yote yamefanyika chini ya harakati za Mbunge wetu Prof. Maghembe.
 
Kuhusu Barabara..

Mbunge amejitahidi bara bara inapitika mwaka mzima. Lami imefika Kikweni kwa mbele karibu na Sachi na Ugweno inakaribia Msangeni.

Mbunge amethubutu, Ameweza na Anasonga mbele.
 
Chuo cha Veta UVTC.

Hiki chuo tayari kimeshakabidhiwa Veta. Wanaokwamisha maendeleo ya hiki chuo ni kina Msuya na Kisumo kwasababu za Kisiasa.

.
 
Mzee hivi bado tu unaendelea kudanganya watu! Uvtc haijakabidhiwa veta bana, uvtc iko chin ya uangalizi wa halmashauri ya wilaya ya mwanga kwa sasa, halmashauri inataka kuhamisha baadhi ya vifaa vingine vya kufundishia kutoka chuo cha ufund mbale kule ugweno na chanjale kisangara. Wazo ambalo limepata upinzan kutoka kwa wananch wa maeneo hayo, tena jambo ambalo limefanya timu ya huyo mjinga mwenzako maghembe igawanyike, kuhusu veta serikal imetoa hela za kujenga chuo kipya, mwaka wa nane sasa baraza la madiwan limeshindwa kufikia muafaka chuo kijengwe kipya huku wengine wakisema kikarabatiwe cha uvtc, serikal imerudisha fedha hazina mpaka mkubaliane, uwanja wa veta upo kisangiro ukishamiri kwa msitu wa migunga na miba ya kikwata, asee usijaribu kudanganya watu wa invisible humu jukwaani ukadhani hatuijui mwanga. Mwanga kwa sasa mabadiliko ni lazima, hatuwezi kusubiri tena tena hila zote za huyo profesa mshirikina tunazijua na sasa tunapambana bila hofu. Tunamwamini Mungu mmoja alieumba ardhi na mbingu .
Chuo cha Veta UVTC.

Hiki chuo tayari kimeshakabidhiwa Veta. Wanaokwamisha maendeleo ya hiki chuo ni kina Msuya na Kisumo kwasababu za Kisiasa.

.
 
na huyo prof kigagula jimbo lilishamshinda siku nyingi, hiyo single yenu ya kusema eti cleopa na p k ndio wanazingua ishachuja siku mingi kama nyimbo za mr nice
 
Wakuu Wasalam Wote Kwanza Kabisa Nalaani Kwa Nguvu Zangu Zote Na Kwaniaba Ya Chama Chadema Mkoa Wa Kilimanjaro Kitendo Cha Polisi Kumpiga Na Kumjeruh Mmoja Wa Watu Muhim Sana Katika Harakati Za Ukombozi Wa Taifa Mwenyekiti Wa Cuf Prof.Lipumba Haya Ni Matokeo Ya Kukaribia Kwa Ushindi Dhidi Ya Udhalimu

Wakuu Nikujulisheni Kazi Tuloifanya Leo Katika Wilaya Yetu Ya Mwanga Katika Opresheni Tuloipa Jina La 'Mwanga Wa Matumaini' Tukiungwa Mkono Na Wakuu Wetu Wa Cdm Wa Mkoa Wa Kill Na Arusha Katika Ziara Tulofanya Leo Kama Kawaida Kikosi Kazi Kimeendelea Kusambaza Kadi Za Cdm Kama Njugu Huku Tukiwazoa Wanachama 97 Baadhi Yao Wakiwa Viongozi Waandamizi Wa Ccm Wilaya Na Kata Picha Zipo Kesho Ntawatumia Muone. Hii Inaonyesha Kwamba Mda Wa Kung'oka Kwa Ccm Jimbo Hili Umekaribia Maana Wako Taaban Vya Kutosha Na Maghembe Analijua Hilo

hakuna kulala makamanda wetu. CCM ni wa kuogopwa kama UKIMWI. nchi hii imefika hapa kwa sababu ya utawala wa kifisadi wa viongozi wa CCM, tumechoka.
 
Back
Top Bottom