- Thread starter
- #21
Acha uongo wew? Mwanga kuna mrad gan wa maji? Huu wa kuchimba mavisima ya kitapeli.? Tuna wiki ya tatu sasa mabomba yanatoa hewa kuhusu mchali/hapajawahi kuwa na shida ya maji tangu uhuru! Mshewa na chomvu kuna intake zaid ya tano zipo! Kuanzia ipombe le nuka inayopeleka maji mpka hospital ya wilaya, kuna intake kama nne zilizopo mto ndurumo ikiwemo ya lomwe sekondari, tatu za jumuiya za watumia maji za mshewa,ngeja kati na mchali! Hiyo mpya ya mchali ni ipi?
Mkuu Mtengeti Mwache Huyu Mfu Azike Wafu Wenziwe Sisi Tusonge Mbele Hoptali Ya Usang Ambayo Ni Ya Wilaya Haina Hata Aspirini Nakumbuka Siku Nilipompeleka Bi Mkubwa Wangu Akapimwa Malaria Akakutwa Nayo Tatu Nikaagizwa Nikanunue Dawa Mseto Sikumbuk Walinitajia Duka Gani Sikuwaamini Ikanibidi Kwenda Shighatini Mision Ndipo Mama Alikotibiwa Why Maghembe Why Ccm Mwanga