Prof. Maghembe amekalia kuti kavu


Tiba za jadi
 
Hii INA boa sana kumpakazi mhe rais wakati huyu waziri angeliweza fanyia kazi yy
 

Wanadhan na wao ni system kumbe hawana wajualo
 
Mi magufuli namkubari hata kama maisha yanabana ila nina trust nae nampa muda nione anaitengeneza Tanzania ya namna gani? Maana angebana life then yeye angekuwa anakula bata na mimi ningepress blame zangu lakini huyu mzee hata kwa macho namuona kabisa ana nia njema na taifa langu.Sipo kichama zaidi nicoment kizalendo zaidi
 
Mbona huyo mulishamuita waziri mzigo tangu zamani,sijui na ninyi mnaogopa kutoa ushauri kwa mtu wenu Ili asimteue mtu ambaye mlikuwa mnajua kuwa ni mzigo,Hata aliyemteua alimteua akijua kuwa ni mzigo kwa hiyo Kuna hatari ya kutokuchukuliwa hatua zozote kwa kuwa aliyemteua alimjua kuwa ni mzigo na ana weza akaendelea kuubeba hivyohivyo kwa kuwa karidhika nao.
 
Asiri zetu huwa ni kama ngozi, hawa watu mpaka leo bado wanafikiria kuiba tu na ujanja ujanja halafu wasipoteuliwa utawasikia ..ohoo, mkabila!
 
Tujuzwe wale ng'ombe ni wa nani. Na Maghembe alitoa amri kwa mamlaka ya nani.
Mtaelewa tu kuwa Magu ni mnafiki fulani hatari sana. Amri ilitoka kwake kumlinda kagame!! Lile sakata litafishwa ili muendelee na ule ugonjwa wa kusahau!!
 
Mzigo ni mzigo tu, huwa haubadilikagi milele.
Professa Maghembe ni mzigo tu, yupo hivyo siku zote na bado anapewa uwaziri.
Sidhani kama Magufuli anaweza kumfukuza Profesa Maghembe, anaweza kumuhamishia wizara nyingine lakini sio kumfukuza kabisa.
We are waiting to see.

Kwa sisi tunaojua siasa za CCM vizuri tunajua sababu zake. Mambo mengine ni siri za jadi, sio vizuri kuyaanika humu JF.
 
Frankly hata mimi sikupenda uteuzi wake.He lacks seriousness.
 
Apewe Mwanry. Nadhani bado kuna nafasi ya Rais kuteua Mbunge hivyo basi amteue Mwanry akamate hii Wizara na naamini ataiweza bila shaka yoyote.
Wewe????!!!! humjui huyo jamaa? Uliza halmashauri alivyokuwa akitishia ili watoe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…